Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
King wa road ya wapi mkuu ? 🙄🙄🙄Mkuu subaru sindo king kwa road nasikia hvo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King wa road ya wapi mkuu ? 🙄🙄🙄Mkuu subaru sindo king kwa road nasikia hvo
Hamna gari mule mkuu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fika 120 sasa uone kinavyopepea
Hadi leo jioni nitajua asee.. moyo unazidi kulala tu 😀😀😀Hahahah EJ20 Naturally Aspirated haitakuwa na shida shida
Hata kwa macho tu ile ukiangalia, unajua hamna kitu pale.. ila vijana wanazikimbilia na kuvimba sana kwasabau pia ya kiwango cha pesa ambacho kipo
Waswahili tuna roho mbaya Sana,hivi ni kweli unaijua Subaru forester au basi Tu umeona ni Bora ufanye comedy
ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana
King wa road ya wapi mkuu ? [emoji849][emoji849][emoji849]
Labda kama anashinda na Vitz au Ist huko barabarani 😀😀😀Naskia hio subaru road hana mpinzani kwa sasa
Hakuna cha nondo wa nini, Subaru hakuna kituMkuu tupe nondo
Labda kama anashinda na Vitz au Ist huko barabarani [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu nipe gari ambayo road ipo vzr kwa trip za mikoani bajeti 20m-25m
Hili swali wanaliruka sana ila kwa bajet hiyo mbona subaru ndio best..Soon naanza kushinda mikoani gari ambayo road ipo vzr inakimbia kwa bajeti ya 20-25m naweza pata gari gani mtaalam
Mimi nazungumzia SH5 sasa wewe sijui unaisemea ipi... Afu mkuu hiyo roho mbaya namletea nani mjapan aliyetengeneza au 🤣🤣🤣🤣Waswahili tuna roho mbaya Sana,hivi ni kweli unaijua Subaru forester au basi Tu umeona ni Bora ufanye comedy
Hapo gari ni Vanguard,Kluger na Subaru.Hiyo Harrier na Xtrail ni uchafu!Hili swali wanaliruka sana ila kwa bajet hiyo mbona subaru ndio best..
1. Subaru xt
2. Harrier
3. Vanguard
4. kluger
5. Xtrail
Achana nae huyo mkuu... Haijui SH5 afu anaona wengne ndio hawaijui!ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana
🤣🤣🤣 harrier ndio uchafu namba moja mkuuHapo gari ni Vanguard,Kluger na Subaru.Hiyo Harrier na Xtrail ni uchafu!
wakikua wanaachaga wenyewe 😀😀😀Wanaomiliki hizo ndinga wanavimba sana[emoji119]
VW yyteSoon naanza kushinda mikoani gari ambayo road ipo vzr inakimbia kwa bajeti ya 20-25m naweza pata gari gani mtaalam
Nachukia sana magari ambayo huwa yanataka yabembelezwe,yapetiwepetiwe kila saa,yachombezwe mara kwa mara.Mara yadai mahaba na kadhalika!🤣🤣🤣 harrier ndio uchafu namba moja mkuu