Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana

Naskia hio subaru road hana mpinzani kwa sasa
 
Soon naanza kushinda mikoani gari ambayo road ipo vzr inakimbia kwa bajeti ya 20-25m naweza pata gari gani mtaalam
Hili swali wanaliruka sana ila kwa bajet hiyo mbona subaru ndio best..

1. Subaru xt
2. Harrier
3. Vanguard
4. kluger
5. Xtrail
 
ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana
Achana nae huyo mkuu... Haijui SH5 afu anaona wengne ndio hawaijui!
 
Back
Top Bottom