Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Kuna jamaa yangu mmoja aliinunua kwa kufuata mkumbo kipindi kile zinaingia,kimtindo kishaichoka anajikaza tu,maana karibia mwaka kaitia sokoni watu wanaipita tu,juzi kati kanitumia picha ameifanyia pimping ila nikiangalia ndio imezidi kuwa kituko,bora angeiacha vile vile tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Namiliki ile old model,twin turbo,dah!ile gari acha kabisa,huko road niliwahi kuzalilishwa na land cruser ya mkonge na v8,hamna mjinga mwingine yoyote aliekua anasumbua,kile kifaru kiko juu ya mawe mwaka wa pili sasa madogo walikiua,but najipanga nikirudishe road kwa ajili ligi tu πŸ˜…
Siwezi kukushangaa, hatuwezi zichukia wote au kuzipenda wote, ndio maana zipo. πŸ˜€πŸ˜€ ila kwangu zote big no.. nikizitazama kwa nje nazionaje sijui
 
ukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 😎😎
 
ukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 😎😎
Labda crown majesta,lakini hizo 3500,mark x,brevis yenyewe hamna kitu bro,kwa toyota wasumbufu ni v8 na lc mkonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…