Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Kuna jamaa yangu mmoja aliinunua kwa kufuata mkumbo kipindi kile zinaingia,kimtindo kishaichoka anajikaza tu,maana karibia mwaka kaitia sokoni watu wanaipita tu,juzi kati kanitumia picha ameifanyia pimping ila nikiangalia ndio imezidi kuwa kituko,bora angeiacha vile vile tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Namiliki ile old model,twin turbo,dah!ile gari acha kabisa,huko road niliwahi kuzalilishwa na land cruser ya mkonge na v8,hamna mjinga mwingine yoyote aliekua anasumbua,kile kifaru kiko juu ya mawe mwaka wa pili sasa madogo walikiua,but najipanga nikirudishe road kwa ajili ligi tu ๐Ÿ˜…
Siwezi kukushangaa, hatuwezi zichukia wote au kuzipenda wote, ndio maana zipo. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ila kwangu zote big no.. nikizitazama kwa nje nazionaje sijui
 
Namiliki ile old model,twin turbo,dah!ile gari acha kabisa,huko road niliwahi kuzalilishwa na land cruser ya mkonge na v8,hamna mjinga mwingine yoyote aliekua anasumbua,kile kifaru kiko juu ya mawe mwaka wa pili sasa madogo walikiua,but najipanga nikirudishe road kwa ajili ligi tu ๐Ÿ˜…
ukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Golf GTI ni gari mkuu, kama una pesa usijiulize mala mbili mbili chukua chukua nasema chukua [emoji205][emoji205]

15m unamiliki chombo hii[emoji91][emoji91]
IMG_2928.jpg

IMG_2927.jpg
 
ukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Labda crown majesta,lakini hizo 3500,mark x,brevis yenyewe hamna kitu bro,kwa toyota wasumbufu ni v8 na lc mkonge
 
Back
Top Bottom