Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

unashindanisha SUV na gari ambazo zimekuwa build for speed.
SUV sio built for speed, ila uwezo wa ku cross heavy terrains,muds.. na rough roads.

hizo teo different classes of cars. hazitokuwa sawa kwenye performance sawa.
 
View attachment 1764021
Credit ziende kwa page ya instagram ya "teamcruiser" hapo ni LC100 series vs V8
tofautisha kati ya hizo Land Cruiser
hiyo Land Cruiser series 100 inatumia engine ya 1HZ inayotumia piston 6 speed 180 wakati Land Cruiser V8 ina piston nane na engine ya 1VD-FTV ambapo speed ni mpaka 240 au 300
lkn naye ana mbabe wake akizubaa anachapwa na V8 yake
 


Nadhani hiyo LC100 series ni 1HD na sio 1HZ
 
Zipi hizo mkuu?
Now namiliki rav4 old zote including vanguard,kluger kwenye harrier napendelea zaidi ile old model si hii tako la nyani japo si mbaya sana ila nishawahi kutoka nayo moro tu hapo usiku nikaiona stability yake inakumwaga muda wowote ule,ile old model nishaenda nayo mtwara iko fresh kimtindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…