Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Kama vipi unavisaga vinakuwa unga ndipo unakunywa, kiulainiii.... Kisa cha kujiumiza koo ni nini?

Kidonge unameza kinakukwama kooni khaaa...

Asa shoga mpaka usubiri chanjo ina maana likitokea la kutokea hutakunywa?
 
Mleta maada hajasema kama ana ukimwi/kaathirika. Lakin nashangaaa mmeanza kumpa pole duuh
Kwa alivyopost (akitaka kujiandaa kisaikolojia) huenda kavikuta kwenye pochi/begi la mpenzi/mke/mume wake ambae wamekuwa wanakulana laivu bila chenga. Sasa anajua na yeye keshakuwa connected kwenye gridi la taifa lenye kilowatts za kutosha
 
kama umefanya tendo la ndoa na mtu within 3 weeks kuanzia leo,wahi fasta hospitali au nicheki dm,kuna njia kupona but kama ni zaid ya 3 weeks pole mkuu
Sema hapa ili uwasaidie watu, au wewe unawaza pesa tu.
Saidia watu pesa utazipata tu.
 
Ni historia ndefu all in all ninachokumbuka ni shauri ya pombe nilijikuta niko na mwanamke asubuhi sasa kumbe sikutumia kinga....

Kuna kipindi fulani niliandamwa na maralia isiyoisha ndio katika kucheki nikajikuta niko na hali hiyo....
Pole sana mkuu ila ishu sio pombe usiisingizie sema kiu chako tu ndo kilikuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…