CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Nyeupe ni hatua gan? Maana kuna mtu namjua anatumia nyeupe
Vyeupe ni stage 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyeupe ni hatua gan? Maana kuna mtu namjua anatumia nyeupe
Asa shoga mpaka usubiri chanjo ina maana likitokea la kutokea hutakunywa?
Kwa alivyopost (akitaka kujiandaa kisaikolojia) huenda kavikuta kwenye pochi/begi la mpenzi/mke/mume wake ambae wamekuwa wanakulana laivu bila chenga. Sasa anajua na yeye keshakuwa connected kwenye gridi la taifa lenye kilowatts za kutoshaMleta maada hajasema kama ana ukimwi/kaathirika. Lakin nashangaaa mmeanza kumpa pole duuh
Hiyo tv ndio ilikuwa inaenda kwa mchepuko ambao umempa jamaa maambukizi....Jana ulitaka bei ya tv
Leo unauliza rangi yA arv
Ngoja nikonekti dotiz
Ntakufa mapema tuAsa shoga mpaka usubiri chanjo ina maana likitokea la kutokea hutakunywa?
Bora tudawa tungekuwa tudogo Kama piliton jamaniHahaah kumbe na wewe muoga
Mkuu unadhani HIV ni vya kuchezea...Jamani mbona vikubwa Sana kwa nini wasitengeneze vidogo
waulize tra sio tbs utapata pichaHABARI WAKUU;
naomba msaada wa picha ya vidonge vya ARV ili nijiandae kisaikolojia
Sema hapa ili uwasaidie watu, au wewe unawaza pesa tu.kama umefanya tendo la ndoa na mtu within 3 weeks kuanzia leo,wahi fasta hospitali au nicheki dm,kuna njia kupona but kama ni zaid ya 3 weeks pole mkuu
Inabidi viwe vikubwaa eeeeMkuu unadhani HIV ni vya kuchezea...
Eeh... kwanza kabla ya kumeza hakikisha umekula msosi wa nguvu mix matunda then unashushia na maji ya kutosha....Inabidi viwe vikubwaa eeee
Nimependa rangi ya hizo dawa ila ee mwenyezi mungu naomba uniepushieHapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.
Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Jaman cyo mm mkuu nilivikuta kwenye pochi ya mtummmh mkuu sema tu kama tupo wote.....mtu huyo naani yan kwamfano..kakuonesha au
Heee nawe mzuri hivyo umeathirika jamaniEeh... kwanza kabla ya kumeza hakikisha umekula msosi wa nguvu mix matunda then unashushia na maji ya kutosha....
Niko mahali nikifika nyumbani nitakuonesha vya kwangu...
Mkuu unataka ujue kama anavyotumia ni ARV sio?HABARI WAKUU;
naomba msaada wa picha ya vidonge vya ARV ili nijiandae kisaikolojia
Ni historia ndefu all in all ninachokumbuka ni shauri ya pombe nilijikuta niko na mwanamke asubuhi sasa kumbe sikutumia kinga....Heee nawe mzuri hivyo umeathirika jamani
Pole sana mkuu ila ishu sio pombe usiisingizie sema kiu chako tu ndo kilikuponzaNi historia ndefu all in all ninachokumbuka ni shauri ya pombe nilijikuta niko na mwanamke asubuhi sasa kumbe sikutumia kinga....
Kuna kipindi fulani niliandamwa na maralia isiyoisha ndio katika kucheki nikajikuta niko na hali hiyo....