Nina mwanamke wa namna hii nimeshindwa kumsoma kabisa mwenendo wake.nataka nitafute rafiki zake 2 hivi nipate a.b.c juu yake ninahisi kuna mambo anaficha nisimjue zaidi.Mwanamke mwenye aibu,kwa kawaida huwa mtulivu,mwangalifu, au mwenye wasiwasi katika tafsiri ya hali ya jamii husika,
Kwa ujumla huzungumza kimya kimya, huepuka kuwa kitovu cha umakini, na huchukua muda kufungua hisia kwa watu wapya,hivyo huchukua tahadhari kwa umakini zaidi,
Hata hivyo, tabia yake ya utulivu mara nyingi huficha utu wake kwa kina,ni mwanamke mwenye kufikiria zaidi kabla ya kuchukua maamuzi,
Mara nyingi wanawake wenye aibu hua wana imani,hawana roho mbaya au ukatili,
Mpe muda ila kwa maoni yangu na experience yangu,huyo anakufaa kabisa.
Kwani Jonna uneolewa??Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
Ndio EconometricianKwani Jonna uneolewa??
sio kadri kiwingu kitakavyokolea?Anakatika sana Kwa kitanda hasa akikuzoea. Uno lake ni mithili ya feni.
Nitaongeza sifa zingine kadri nitakavyopata muda.

Sio kwa ujiko huo(kidding)!😜Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
nina rafiki yangu mmoja yuko hivihivi mpaka anamaliza chuo anaogopa wanaume balaa..Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Nakubaliana na wewe hizo sifa zote kwa wanawake wenye aibu,Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Unayo namba yake?nina rafiki yangu mmoja yuko hivihivi mpaka anamaliza chuo anaogopa wanaume balaa..
😀😀😀Unayo namba yake?
Umejipakulia full sahani!😜
katoka eneo hilo hakunaga mwenye aibu gentleman,Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?

ndio ninayoUnayo namba yake?

nina rafiki yangu mmoja yuko hivihivi mpaka anamaliza chuo anaogopa wanaume balaa..
Hauna rafiki yako mwingine anaye fanana na wewe kitabia?😂😂😂 hebu nijimalize na baya letu...
1. Tuna wivu kupindukia,labda sababu ni overthinkers
2. Wagumu kuonesha hisia zetu,mfano mimi mwanaume wangu mara ya kwanza kumjibu "Nakupenda pia" ni miaka mitatu hadi minne baada ya kuwa nae ...kabla ya hapo akiniambia ananipenda mimi najionea aibu hata kujibu kwa text
3. Kusema tunachotaka kwetu ni mtihani pia,tunategemea mwanaume ajiongeze...mfano kama kuomba hela ni jambo gumu kwangu na halijawahi kutokea