Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Mwanamke mwenye aibu,kwa kawaida huwa mtulivu,mwangalifu, au mwenye wasiwasi katika tafsiri ya hali ya jamii husika,

Kwa ujumla huzungumza kimya kimya, huepuka kuwa kitovu cha umakini, na huchukua muda kufungua hisia kwa watu wapya,hivyo huchukua tahadhari kwa umakini zaidi,

Hata hivyo, tabia yake ya utulivu mara nyingi huficha utu wake kwa kina,ni mwanamke mwenye kufikiria zaidi kabla ya kuchukua maamuzi,

Mara nyingi wanawake wenye aibu hua wana imani,hawana roho mbaya au ukatili,

Mpe muda ila kwa maoni yangu na experience yangu,huyo anakufaa kabisa.
Pia ni wakua na video chafu kwenye simu zao na na wanapiga sana nyeto.
 
Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu

1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
By overthinkers you mean delusional?
 
Pia ni wakua na video chafu kwenye simu zao na na wanapiga sana nyeto.
Kalikuwa kanapenda sana keke! Siku moja namrekebishia simu kuingia kwenye history ya chrome nikakuta bangbros,brazzers,phonerotica nikajichekea kimoyo moyo
 
😂😂😂 hebu nijimalize na baya letu...

1. Tuna wivu kupindukia,labda sababu ni overthinkers
2. Wagumu kuonesha hisia zetu,mfano mimi mwanaume wangu mara ya kwanza kumjibu "Nakupenda pia" ni miaka mitatu hadi minne baada ya kuwa nae ...kabla ya hapo akiniambia ananipenda mimi najionea aibu hata kujibu kwa text
3. Kusema tunachotaka kwetu ni mtihani pia,tunategemea mwanaume ajiongeze...mfano kama kuomba hela ni jambo gumu kwangu na halijawahi kutokea
4. Wagumu kukubali kufanya sex
Ongezea mnapenda sana kuangalia video za mizagamuo pia wengi wenu ni madj wazuri
 
Kalikuwa kanapenda sana keke! Siku moja namrekebishia simu kuingia kwenye history ya chrome nikakuta bangbros,brazzers,phonerotica nikajichekea kimoyo moyo
Hahahahaaa alaf wanamachaguo mabaya sana ya aina za video wanazoangali, wanaangalia mizigo ambayo wewe ukiiona unaweza usipate usikingizi.
 
Back
Top Bottom