Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Ke mwenye aibu na akiwa bado mdogo hahaingia leba wala hajawa na mahusiano matatu manne, huwezi mgongea maeneo hayo hata muwe mmefunga ndoa mbinguni, mchana utakula ila kwa kujifunika na shuka na huwezi mbenjua benjua hizo style zenu za popo kanyea mbingu,

Kuzaa ndo huwa kunamaliza aibu hizo kwa uhakika,... ataendelea kuwa nazo ila zile za kitoto zinaisha mchana ataanza kukupa na utambenjua ila kwanza muingize leba tena sio mara moja walau mara mbili na kuendelea,
Mbona Mimi nilimtoa mtu bikra katika shamba la alizeti mchana kweupe.

Hili ☝️ unalizungumziaje?
 
Huwa hawafunguki haraka lakini akianza kukuamini, utakuwa mtu wake wa karibu sana, na utaona upande wake halisi ambao wengine hawaujui.
 
Back
Top Bottom