Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Sadly mimi ndiye nilikuwa/huwa naonekana wa ajabu kwenye kundi la naokuwa nao karibu

% kubwa ya circle ya 'marafiki' zangu ni ile ya kulala na mwanaume siku ile ile waliyokutana kama wakiweza
90% ya maisha yangu ya ujana, wanangu wote ni walikuwa walevi, tutaenda club, tutaenda bar.. ila mie sinywi, na nikikosekana nitapigiwa simu nifike, lakini mie sijawahi kunywa pombe mpaka leo hii
 
Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu

1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Au Sio 😎
 
Jitoe kwenye hilo kundi kwanza, hata sifa moja hapo juu huna mwanetu. We ni mswahili.
 
Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
Hilo ni tabasamu la mamba mkuu, mi nilimpata kama huyo nikaoa saizi najuta najuta kweli kweli kumbe ilikuwa style ya kuniingize kwenye 18
 
M

MIe wangu pamoja na kuzaa aibu hazijaisha, , kwenye kutoa nyonyo na kunyonyesha eazy, ila kwenye kuweka mguu bara mguu pwani, hawezi mpaka leo pamoja na kumjengea confidence, vijineno kama ww nini, mbona mali safi kabisa hii inatazamika,
Lakini wapi, imebidi nimzoee tu kwa kuwa hiyo ndio inamfanya huru zaidi, aibu iko damuni.
Uzuri ikichomoka anairudishia japo sura anaiweka pembeni au kafunga uso na kiganja 🤣😂😂
Yani huyo ndo mzuri sasa hawa wa kukuangalia machoni mkavu hanogi sana, sema aibu nyingi ndivyo unakuwa pabaya kutumiwa na wanaume, maana aibu inapatana na uoga kiasi,

Ushawahi kula mtu huku kajiziba na mto, yani kakupa kiuno uhangaike nacho ila yeye kafunika usi na mto sababu ya aibu!!!
 
90% ya maisha yangu ya ujana, wanangu wote ni walikuwa walevi, tutaenda club, tutaenda bar.. ila mie sinywi, na nikikosekana nitapigiwa simu nifike, lakini mie sijawahi kunywa pombe mpaka leo hii

Inatokea hiyo kutofautiana interests na watu wa karibu
Hata mie pombe situmii kabisa wakati 'marafiki' zangu wanatumia
 
Yani huyo ndo mzuri sasa hawa wa kukuangalia machoni mkavu hanogi sana, sema aibu nyingi ndivyo unakuwa pabaya kutumiwa na wanaume, maana aibu inapatana na uoga kiasi,

Ushawahi kula mtu huku kajiziba na mto, yani kakupa kiuno uhangaike nacho ila yeye kafunika usi na mto sababu ya aibu!!!
Kwa level niliyopo.. eyes contact ni muhimu kiasi fulani..
Yes nami nina amini hilo mwenye aibu hagongeki gongeki hovyo.

Kujiziba uso na kuacha kiuno, 😂🤣🤣 nimekumbuka mbali saaana 😂🤣, toto la kimakonde hilo, aibu buku ila miuno yake ni buku jero 😂🤣

Uzuri wanawake, kika mmoja na sifa yake, huyu ana aibu, ila papa nzuri, papa safi, joto celcius mia kenda, mnato wa hatari, inabana shafti, utafikiri ilitengenezewa mashine yako tu 😂, hapo unamsamehe na aibu zake, unajisemea "kwani mie natomba aibu" 😂🤣
 
Back
Top Bottom