Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Nakubaliana na wewe hizo sifa zote kwa wanawake wenye aibu,

Niongezee na hii,

Wanawake wa aina hii hua ni wavumilivu ila wakifikia maamuzi hua hawana come back,wakisha amua kuachana na wewe ndio wameamua ila uamuzi wao mara nyingi huja baada ya kuvumilia kwa muda mrefu.

Kabisaaa The Icebreaker
Yanafanyika maamuzi magumu bila kujali maumivu,kikubwa ni kwamba uvumilivu umefika mwisho
 
Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu

1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Umenena vyema bro.
 
Hahaha huko chuo hata kukumbatiana na mwanaume wangu nilikuwa natetemeka dadeq wallah!!
yule hata kusogelea hawezi nikimpigia simu anachekecheka tu kila kitu, kuna siku kaniuliza kama akijaribu tu mimba itaingia,nikamjibu ndio usijaribu.. sidhani kama kaachia, naona alikua ananiuliza maswali mengi kweli!
 
Huyo ni levels zingine
Mie na aibu zangu zooote lakini moja ya wishes zangu ilikuwa ni kufanya sex 😂
 
sio kadri kiwingu kitakavyokolea? :AmazingPls:
Sifa nyingine ya mwanamke mwenye aibu ni hii 👇.

Ukiwa unamvua pichu basi yeye huimalizia hiyo pichu kwa miguu yake 😋. Yaani wewe vuta tu pichu yake hadi usawa wa Magoti utaona atakavyokuwa anaisogeza chini kwa miguu mithili ya mtu anayechanganya pedal ya baiskeli.

Mzee mwenzangu The Icebreaker nadhani unaijua hii.
 
kumbe!!🥴
 
Binafsi hostel hakuna aliyewahi kuniona nikiwa uchi wala hata ile kuniona nikiwa na chupi tu..

Wanaume niliwahi kuwa nao kwenye mahusiano HAKUNA aliyewahi kuniona nikiwa uchi, labda kama walinivua nguo nikiwa nimelala fo fo fo
Duuh kweli una aibu, sema kwenye swala la kukaa uchi bila aibu inafikia umri fulani sio issue sana kama mwanzoni ukifkika late 20s unaanza kuzoea hata kukaa na wenzio na kichupi..
 
Back
Top Bottom