The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Siku ukijaribu mchana basi utagundua kua kumbe ulichelewa sana.Hata mume wangu mchana anajua hakuna anachopata
Kiufupi sijawahi kusex mchana maisha yangu yote
Siku ukijaribu mchana basi utagundua kua kumbe ulichelewa sana.Hata mume wangu mchana anajua hakuna anachopata
Kiufupi sijawahi kusex mchana maisha yangu yote
Ndio haiba ya kike hiyo mdogo'etu, unataka ukitongoza ujibiwe hapo hapo, si mtalomba mno mabinti wa watu sasa 🙄Kumbe mnapenda kubembelezwa sasa mara ya kwanza mbona mnakataa mixer kuruka
Styles ziko nyingi, tatizo wewe hufanyi jitihada zozote za kuzitafuta.dah uskuma ni mwingi! ngoja niwe serious..
NawishSiku ukijaribu mchana basi utagundua kua kumbe ulichelewa sana.
ooh nilisahau pole, nazungumzia hilo kundi kubwa la wazinzi..Tatizo lako unajumuisha kua wanaume wote wana tabia hiyo,hatufanani bro.
Dah, hii nimeipenda. Kiufupi wewe ni wa kipekee sana. Nikimpata kama wewe..... 😋.Hata mume wangu mchana anajua hakuna anachopata
Kiufupi sijawahi kusex mchana maisha yangu yote
ukimzoea utamuangalia tu, hata mimi nilikuwa siwezi!Wengi wanasema kuangaliana ndo unyama
Binafsi sijawahi kujaribu kufanya taa ikiwa on wala mchana
Nahisi nikiangaliana nae nitacheka haki vile
Wanawake wa siku hizi anakukoromea na kukukodolea macho kama Konda wa Daladala au muuza sumu ya Panya.Mkuu, tatizo ni kwamba wanawake wenye aibu siku hizi ni wachache sana jambo linaloniwia vigumu kupata video clip.
wamekuibia nini tena tajiri?Wanawake wenye aibu ni wezi mkuu ili halina mjadala
Duh mwanaume wako muelewa sana aisee! kuna hawa mbwa ukiinama tu imo, usiingie kuoga,usijilaze kwenye kochi kosa🙁Hata mume wangu mchana anajua hakuna anachopata
Kiufupi sijawahi kusex mchana maisha yangu yote
Mi naoana miaka hii wanaume ndio wanakwepesha macho pindi wakutanapo na mabinti. Mambo yamekuwa upsidedown.Wanawake wa siku hizi anakukoromea na kukukodolea macho kama Konda wa Daladala au muuza sumu ya Panya.
hebu nitumie nizihifadhi for fyucha yuzi😎Styles ziko nyingi, tatizo wewe hufanyi jitihada zozote za kuzitafuta.
Mapenzi ni chuo kikuu lazima ujiendeleze!
Unakuta unamfukuzia binti mwaka mzima anaweka ngumu sana ila ukiacha tu anaanza kuleta mashtakaNdio haiba ya kike hiyo mdogo'etu, unataka ukitongoza ujibiwe hapo hapo, si mtalomba mno mabinti wa watu sasa 🙄
Kwa uzoefu wangu na hii ID tumepigwa humu 😂!!!Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
ila wanaume kwa unafki hamjambo! hapo ukimpata unaanza tena kutamani wanaoruka judo 24/7Dah, hii nimeipenda. Kiufupi wewe ni wa kipekee sana. Nikimpata kama wewe..... 😋.
Wewe unakuaje na aibu kwa mpenzi wako inamaana kuna kitu unafichawamekuibia nini tena tajiri?
Haya.hebu nitumie nizihifadhi for fyucha yuzi😎
mbwa wewe🤣🤣Wanawake wa siku hizi anakukoromea na kukukodolea macho kama Konda wa Daladala au muuza sumu ya Panya.
Mimi sina hiyo jadi 😎.ila wanaume kwa unafki hamjambo! hapo ukimpata unaanza tena kutamani wanaoruka judo 24/7
Wa kipekee katika namna mbaya 😁Dah, hii nimeipenda. Kiufupi wewe ni wa kipekee sana. Nikimpata kama wewe..... 😋.