Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Katika namna nzuri. Mimi napenda binti asinitungulie macho kama paka shume, napenda aniangalie kwa kuniibiaibia tena kwa macho malegevu.....hapo ndo napata hisia isiyo na kikomo.

Mwanamke kunitungulia macho kama Kingwendu kunanikata sana stimu.
🤣🤣🤣 iwe really tu, hawa viumbe wanajua kuigiza balaaašŸ¤“
 
Sema inaonekana kama vile anampelekesha sana jamaa yake,halafu yeye ndio mwenye maamuzi,

Yani hata kula tunda tu eti mpaka giza liingie utafikiri mtu anakula tunda la wizi bhana.

šŸ˜€šŸ˜€
Hapo kweli anakosea aisee! Mimi nataka demu mwenye aibu aibu lakini kila nikitaka kula tunda hata kwenye majaruba ya mpunga niwe napewa.
 
Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
kama ni born kati ya wa 12 na wa kwanza au jina v au j ni asili yake tu na ili aibu zimtoke ni hadi akuzoee.

hafake it mean.
 
Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu

1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
ni capricon au ?.
 
Nina mwanamke wa namna hii nimeshindwa kumsoma kabisa mwenendo wake.nataka nitafute rafiki zake 2 hivi nipate a.b.c juu yake ninahisi kuna mambo anaficha nisimjue zaidi.
huto mjua ktk maisha yako yote. pia na hao marafiki zake hawawez mjua. Kiufupi watu hao hawasomekag milele.
 
Back
Top Bottom