Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

hebu mwombe picha ya kiganja cha mkono uone kama ana " M " kwenye ile mkstari nijaribu kuunganisha dot. Lakini pia jina lake na tarehe yake ya kuzaliwa.

maranyingi vikilingana hivyo na tabia hua sawa.
kazaliwa april ana M ndio
 
Kuna wale wakati unamvua nguo haswa chupi anafumba macho na viganja vya mkono. Hivi bafo WAPOGO? 😂🤣

siku hizi nishaizoea miguberi guberi, yeye ndio anaitoa ndonga kwenye suruali na kuanza kula koni kama anafanya kazi kwa bakhresa.
Ikichomoka wakati wa mizagamuano yeye ndio anairudishia 😋😋😂😂🤣🤣
 
capricorn? /QUOTE] hapo ina tegemeana. Jina hutawala baada ya kuzoeana ila tarehe na mwez wa kuzaliwa hutawala ile kabla ya hamjazoeana.

kwahiyo inahitajika uchunguz flan wa kitaalam flan kujua tabia ipi ina tawala kiti.

ila ikitokea mhusika ana " M " hiyo ni level nyingine c mwepesi hyuo. { ila iwe ni M kweli c ya kuunga unga }[
 
Kuna wale wakati unamvua nguo haswa chupi anafumba macho na viganja vya mkono. Hivi bafo WAPOGO? 😂🤣

siku hizi nishaizoea miguberi guberi, yeye ndio anaitoa ndonga kwenye suruali na kuanza kula koni kama anafanya kazi kwa bakhresa.
Ikichomoka wakati wa mizagamuano yeye ndio anairudishia 😋😋😂😂🤣🤣
"Wachache sana!", Charles Machugu.
 
Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu

1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
Kuna mmoja huyo wa aina yenu ila ni singo maza ana aibu mpaka kutembea hawezi kuangalia mbele, namuwinda ila ananikwepa Sana hadi nishakata tamaa

Sijui hata kwanini ananikataa kiasi hivho
 
Back
Top Bottom