ThanksPunguza kula na fanya mazoezi ya kukata tumbo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Thanks,but kibongo bongo Kula proteni ni ishu sababu ya uchumi unakuta vyakula tajwa visivyo ruhusiwa ndo vipo kwa urahisi1.Punguza kula sukari na wanga.
2. Kunywa maji ya kutosha.
3.Kula matunda, mboga mboga na protein kama Samaki, kuku na nyama.
Hahaha jamani mazoezi nami ndo siwezi,nilivaa mkanda nikaona napata maumivu na kujisikia vibaya sasa wasio nifahamu wananiita mama Kijacho duuuuuJiran yangu
Ana kitambi ukimuona mara ya kwanza unaweza fikiri ni mjamzito.
Alianza mazoez ila hata wiki mbili hakumaliza akaacha [emoji23]
Kuna cku alitembelewa na mdogo wake naye yuko hivo.
Nimefikiri wengine miili ya kurithi.
Dah pole jamani. Mwanao hajambo?Habari waungwana,
Kama mada inavyoonekana hapo juu naomba mwenye kujua suluhisho la kuondoa kitambi anisaidie, nilijifungua kwa operation mwaka jana 11 na sikufunga tumbo sasa badala ya kuendelea kupungua ndo kwanza tumbo linazidi kukua nakosa raha jamani hasa ukitaka kuvunja kabati nguo zinagoma!
Msaada please
Unacheka wakati umeshaharibu shape yako kwa uzembe,hakuna kazi ngumu kama kuondoa kitambiHahaha jamani mazoezi nami ndo siwezi,nilivaa mkanda nikaona napata maumivu na kujisikia vibaya sasa wasio nifahamu wananiita mama Kijacho duuuuu
Protein mbona rahisi sana bongo, kuna maharagwe, samaki, dagaa, soya n.k mimi nadhani protein na wanga ndio vitu rahis zaidi bongo na ndio tunavitumia zaidThanks,but kibongo bongo Kula proteni ni ishu sababu ya uchumi unakuta vyakula tajwa visivyo ruhusiwa ndo vipo kwa urahisi
Hakuna njia ya mkato.Hahaha jamani mazoezi nami ndo siwezi,nilivaa mkanda nikaona napata maumivu na kujisikia vibaya sasa wasio nifahamu wananiita mama Kijacho duuuuu
Hii ataumwa aiseh.Hili ndio zoezi rahisi kwako japo na wasi wasi na mshono kuwa makini usije ufumua.
Mwili ni msosi, mtazamo na mazoezi ukiweza kuvi control hivi vitatu utapungua japo kwa mbinde sana sio rahisView attachment 1874233