KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,
It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.
Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,
Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,
In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,
kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.
Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details
Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa