Ina maanisha uta miss opportunity kubwa Maishani Mwako kwa uzembeNahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,
It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.
Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,
Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,
In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,
kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.
Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details
Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
Ndoto huwa ni kama story yenye kuhusu maisha ya mtu husika na ndoto huwa ina lugha yake mfano kuna symbol, metaphor, exaggerated emotions n.kUko sahihi
Ni vile nimetatizika
Ninaloombea halifanani na ndoto na sijui nifanyeje
Natafsiri kidogo kadri ninavyopata ujuzi ila bado nina kiu ndani yangu
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,
It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.
Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,
Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,
In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,
kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.
Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details
Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
We ni mkristo?
Nina kiu kuelewa zaidi bila kujali mipaka ya diniHio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
Nalindwa na damu ya Yesu🙏🏽God forbidUmerogwa. Maana yake safari ambayo ulikuwa uwe nayo imeota mbawa.
I agreeNdoto ni mqbqkia ya mawazo yetu tu, hazina maana kama ya kutqbiri mengi zaidi ya kutuonesha tunachiwqza sana na kubaki nacho kwwnye subconscious mind.
Kama wewe ukivyojielezea na hiyo ndoto ni sawa sawa. Kwa sababu wewe ni planner. Kila mara unafikiria mambo gani hayataenda sawa iki uyahawi.
Hiyo ndoto inaonesha unafikiria sana kujiandaa na safari na kuhakikisha mambo yako yako sawa.
Ku plan ahead. Kujua mapungufu mapema.
Which is a good thing.
Pia inawezekana uliona habari fulani, au kitu fulani kinachohusiana na safari, hususan za ndege, na watu kuchelewa kilichochochea ndoto hii.
NdioKwahiyo huwa unapanda ndege? Maana wengine hata kuigusa hatujawahi
Mungu hayupo, ndiyo maana una maswali yote haya.I agree
Sema rafiki yangu we Atheist
Ungeamini Mungu ungekuwa na picha flani
Imani ndio zinanitatiza hapa
Nimeshindwa kupuuzia kama ndoto zingine
Naomba rehema za MunguIna maanisha uta miss opportunity kubwa Maishani Mwako kwa uzembe
Funga omba sana kuepuka hilo
Dahh😃Punguza mawenge kwenyw mambo yako unayopanga
Unaona ni ushirikina kwa sababu ya aina watu wetu wenye kudai wanatafsiri ndoto na jinsi wanavyozichukulia na kuzitafsiri hizo ndoto, waafrika huku kwa sana watu wa kutafsiri ndoto unakuta waganga, na baadhi ya viongozi wa dini ila kwa wenzetu unakuta wanasaikolojia ndio hasa hutafsiri ndoto na hutumia ndoto wanazoota wagonjwa wao ili kuwasaidia zaidi.Labda. Ila mimi sitilii maanani ndoto yoyote naziacha tu zipite. Nahisi kama kufatilia ndoto ni kama ushirikina flani hivi
Okay wajua kuhusu ndoto ambazo watu waliota katika Biblia na impact yake?Ndio
biblianijibulako.wordpress.com
What have i missedHio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
Ingia chat GBT au deepseek utapata majibu maana Hapo Pana tafsiri nyingi mda ni limit kwanguNimeambiwa we una code au ni redeemer ?
Ni watu 2 tofauti?
Mimi sitafatilia za kwangu mkuu.Okay wajua kuhusu ndoto ambazo watu waliota katika Biblia na impact yake?
Je wasingetafuta tafsiri?
![]()
MAANA YA NDOTO ZA KIROHO: Sehemu ya KWANZA:
Na; Gambo Jnr. Hosea; BIBLIA NI JIBU LAKO “Wanaodhania ya kuwa wanawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu jirani yake, kama vile baba zao walivyolisahau jina lan…biblianijibulako.wordpress.com
Angalia mifano hii