KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
- Thread starter
- #61
Nakuelewa, its okayMimi sitafatilia za kwangu mkuu.
Ila siku ukihitaji kufuatilia tafuta mafundisho ya Mwl Mwakasege
Nakuelewa, its okayMimi sitafatilia za kwangu mkuu.
Unaweza kusema ndoto hazina maana ni mawazo tu tuliyonayo ndio hupelekea kuota ndoto ila tunaona kuna watu kupitia ndoto walizoota kutokana na mawazo waliyokuwa nayo wameweza kupata idea ya mambo yaliyokuwa wakiyawazia, mfano Elias Howe aliyegundua sewing machine aliota ndoto ambayo ilimpa idea ya kuunda sindano yenye tobo ni baada ya kuangaika sana.Ndoto ni mqbqkia ya mawazo yetu tu, hazina maana kama ya kutqbiri mengi zaidi ya kutuonesha tunachiwqza sana na kubaki nacho kwwnye subconscious mind.
Kama wewe ukivyojielezea na hiyo ndoto ni sawa sawa. Kwa sababu wewe ni planner. Kila mara unafikiria mambo gani hayataenda sawa iki uyahawi.
Hiyo ndoto inaonesha unafikiria sana kujiandaa na safari na kuhakikisha mambo yako yako sawa.
Ku plan ahead. Kujua mapungufu mapema.
Which is a good thing.
Pia inawezekana uliona habari fulani, au kitu fulani kinachohusiana na safari, hususan za ndege, na watu kuchelewa kilichochochea ndoto hii.
Kama ndoto inatokana na mawazo ambayo mtu alikuwa nayo kabla ya kuota, huwezi kusema mtu kapata idea kwenye ndoto, kwa sababu hiyo ndoto yenyewe kaipata kutoka kwenye mawazo aliyokuwa nayo.Unaweza kusema ndoto hazina maana ni mawazo tu tuliyonayo ndio hupelekea kuota ndoto ila tunaona kuna watu kupitia ndoto walizoota kutokana na mawazo waliyokuwa nayo wameweza kupata idea ya mambo yaliyokuwa wakiyawazia, mfano Elias Howe aliyegundua sewing machine aliota ndoto ambayo ilimpa idea ya kuunda sindano yenye tobo ni baada ya kuangaika sana.
Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofautiKama ndoto inatokana na mawazo ambayo mtu alikuwa nayo kabla ya kuota, huwezi kusema mtu kapata idea kwenye ndoto, kwa sababu hiyo ndoto yenyewe kaipata kutoka kwenye mawazo aliyokuwa nayo.
Inawezekana ndoto imemsaidia kuyawaza mawazo hayo vizuri zaidi kwa kuwa katika subconscious mind, ni namna fulani ya kufikiri ambayo iko katika an isolated world, na hapo siwezi kukubishia kusema ndoto haina maana wala value kwa sababu ina hiyo element ya kuwa katika isolated world.
Lakini hupati idea kutoka katika ndoto, kwa sababu ndoto, despite being in an isolated dream world, haitokei in isolation, inatokana kwenye mawazo ya kila siku.
Tatizo unauliza swali lako ukiwa na jibu tayari, ukioata jibu tofauti na ulilotamani hulitaki.Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
👋👋👋👋👋👋👋Hio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
Jaribuni kua na koromeo sio kila kitu cha kupost humu kwaio na abiria wa boda akiota kakimbiwa na boda wake aje kupost?Binadamu wana mbinu nyingi sana,ninacho amini ulikua una mpango wa kusafiri au umetoka kusafiri muda sio mrefu
Hapana mkuu..sitafatiliaNakuelewa, its okay
Ila siku ukihitaji kufuatilia tafuta mafundisho ya Mwl Mwakasege
Even more confusingTatizo unauliza swali lako ukiwa na jibu tayari, ukioata jibu tofauti na ulilotamani hulitaki.
Unataka kupata jibu la ukweli ulivyo au unataka kupata jibu unalotamani?
Never say neverHapana mkuu..sitafatilia
Kwa muktadha huo huoni kuwa si sahihi watu kusema ndoto kuwa hazina maana kabisa na kusema tuzipuuze? Maana hapo tumeona tunaweza kufikia our subconcious mind kupitia ndoto.Kama ndoto inatokana na mawazo ambayo mtu alikuwa nayo kabla ya kuota, huwezi kusema mtu kapata idea kwenye ndoto, kwa sababu hiyo ndoto yenyewe kaipata kutoka kwenye mawazo aliyokuwa nayo.
Inawezekana ndoto imemsaidia kuyawaza mawazo hayo vizuri zaidi kwa kuwa katika subconscious mind, ni namna fulani ya kufikiri ambayo iko katika an isolated world, na hapo siwezi kukubishia kusema ndoto haina maana wala value kwa sababu ina hiyo element ya kuwa katika isolated world.
Lakini hupati idea kutoka katika ndoto, kwa sababu ndoto, despite being in an isolated dream world, haitokei in isolation, inatokana kwenye mawazo ya kila siku.
Una maana gani hapo sijakupata vizuri?Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
Kuna vitu haujafunguka ni ngumu watu kuweza kukusaidia kupata uhusiano wa hiyo ndoto na maisha yako, sababu hiyo ndoto inaweza ikawa inahusika na issue nyengine kabisa kwenye maisha yako tofauti na hilo jambo ambalo umekuwa ukiomba kutaka upatie ufumbuzi.Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
Hatari... Mwakasege anasema omba baada ya ndoto, usiiache iende bure.Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,
It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.
Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,
Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,
In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,
kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.
Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details
Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa