Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Mleta mada, kwa sasa niko busy kidogo, nitakusaidia tafsiri kwa namna nilivyoelewa nitakapopata muda. Huenda ikawa saa 10 jioni.
Ameen, ameenNdio
Nakuombea nawe upate safari siku za karibuni Ameen
Kusema kwamba mawazo yetu tu tunayoyawaza ndio hufanya kuota ndoto katika kutaka kuonyesha kwamba ndoto hazina maana ni mawazo tu, hoja hiyo ndio mimi naipinga kwa sababu hata kama mtu kaota jambo ambalo ni katika mambo anayoyawaza bado huwezi kusema kuwa hiyo ndoto haina maana hasa ukiangalia mfano wa Elias Howe unaonyesha ameota ndoto katika mambo aliyokuwa akiyawaza ila kupitia hiyo ndoto imekuwa msaada wa kutatua jambo lililokuwa likimtatiza.Kwa nini unataka kutenganisha mazingira tunayoyajua na mawazo tunayoyawaza? Mawazo tunayoyawaza yanatokana na mazingira tunayoyajua, hatuwezi kuwaza mawazo ambayo hayatoki kwenye mazingira tunayoyajua.
Mfano wako wa Abraham Lincoln ni mzuri sana. Mimi napenda kusoma. Hapa nasoma vitabu viwili. Nasoma kitabu kipya cha Abdulrazak Gurnah "Theft" kilichotoka jana. Lakini pia nasoma kitabu cha Jon Meacham, mwanahistoria maarufu wa Kimarekani. Mshindi wa nishani ya Pulitzer. Kitabu kinaitwa "And There Was Light : Abraham Lincoln And The American Struggle".
Lincoln alikuwa anaishi katika vitisho vya kuuawa muda wowote. Huyu ni rais wa wakati wa vita aliyeongoza majeshi ya Kaskazini mwa Marekani walivyopigana na majimbo ya Kusini katika Civil War. Alitishiwa sana kuuawa akakubali kuwa akifa ni sawa tu.
Kifo cha kuuawa kilikuwa kwenye mawazo yake muda wote. In fact February 23 1861 walinzi wa Lincoln waligundua mpango wa kumuua wakaepusha mauaji hayo.
Sas mtu mwenye mawazo ya kuuawa hivyo ni ajabu gani akiota anauawa hata kila wiki?
Yaani acha tu😀Ana misifa huyo mara meticulous, mara passport nda i ya bag, mara nasafiri lwenda abroad....basi ili mradi aturushe roho
Umeshasema una OCD. That explains a lot juu ya ndoto yako.Kuna ndoto huwa natulia/napotezea,
Hii nilivyoamka imenitatiza sana rohoni
Nikasali, imeniliza na sijui kwa nini
Ndio maana nilikwambia ndoto hutumia metaphor hivyo unaweza kuona ndoto inaelezea masuala ya kikazi ila hiyo ikawa ni metaphor tu, moja ya ugumu wa kutafsiri ndoto ni kujua hiyo ndoto itakuwa inahusu upande gani kwenye maisha yako. Ila uzuri wewe umesema ulikuwa ukimuomba Mungu akueleweshe sehemu ulipo kimaisha hivyo mpaka hapo unajua ndoto imegusia jambo.Nina changamoto ya mahusiano ila ndoto ni safari ya kikazi
Mbona hapo juu nimesema si kweli kwamba ndoto hazina maana kabisa, kwa sababu, hata kama zinatokana na mawazo yetu tu, kuna mawazo fulani yanaingia katika subconcious mind. Hilo linaweza kutusaidia kujua, kwa mfano, what are we anxious about. Kwa hiyo ndoto zinaweza kusaidia kujua na kutibu anxiety.Kusema kwamba mawazo yetu tu tunayoyawaza ndio hufanya kuota ndoto katika kutaka kuonyesha kwamba ndoto hazina maana ni mawazo tu, hoja hiyo ndio mimi naipinga kwa sababu hata kama mtu kaota jambo ambalo ni katika mambo anayoyawaza bado huwezi kusema kuwa hiyo ndoto haina maana hasa ukiangalia mfano wa Elias Howe unaonyesha ameota ndoto katika mambo aliyokuwa akiyawaza ila kupitia hiyo ndoto imekuwa msaada wa kutatua jambo lililokuwa likimtatiza.
Kwahiyo kwa mfano nikikuuliza ni benefits zipi tunazipata endapo tuki pay attention ndoto zetu?Mbona hapo juu nimesema si kweli kwamba ndoto hazina maana kabisa, kwa sababu, hata kama zinatokana na mawazo yetu tu, kuna mawazo fulani yanaingia katika subconcious mind. Hilo linaweza kutusaidia kujua, kwa mfano, what are we anxious about. Kwa hiyo ndoto zinaweza kusaidia kujua na kutibu anxiety.
Kwa hivyo sijasema ndoto hazina maana kabisa.
Nilichosema ni kwamba, kwamba ndoto zinapewa umuhinu ambao hazina na tafsiri za uongo na hizi habari kwamba ndoto zinatabiri yajayo, zinatuonesha vitu vya mbali etc, hizi ziko largely exaggerated.
Kuna ndoto ni matokeo ya mtu kufikiri kitu tu, sasa ntu atataka kusumbuka sana kutafuta tafsiri, ndoto ina maana gani, unnecessarily.Kwahiyo kwa mfano nikikuuliza ni benefits zipi tunazipata endapo tuki pay attention ndoto zetu?
Na unajuaje kuwa ndoto hazina umuhimu huo unaopewa? Nakubali kwamba kuna tafsiri ambazo si sahihi na kuna mtazamo wa watu wengi kuhusisha sana ndoto na utabiri wa mambo yajayo kitu ambacho naona si sahihi, ila nachofahamu si rahisi kuweza kujua ama kutafsiri ndoto inayohusu tukio lijalo mara nyingi baada ya kutokea hilo tukio ndio mtu anaweza kujua tafsiri ya ndoto aliyoota ambayo ilihusu hilo tukio.
Hicho ndio ambacho mimi nakipinga, hata kama mtu anawaza sana jambo fulani ila kuota kwake hilo jambo inaweza ikawa kuna maana kwenye hiyo ndoto hivyo si sahihi kuchukulia kwamba kuota ndoto ya mambo tunayoyawaza sana kuwa hizo ndoto ni mawazo tu kwamba imetokea kwa sababu ya kuwaza sana ila haina maana. Vp ikiwa hiyo ndoto ina msaada au ndani yake kuna jibu fulani katika hicho unachokiwaza sana? Huu mtazamo wa kwamba ni mawazo ndio maana pale mtu akiota mtu au kitu ambacho hakuwa akikiwaza anaanza kujiuliza kwanini ameota hicho kitu au huyo mtu.Kuna ndoto ni matokeo ya mtu kufikiri kitu tu, sasa ntu atataka kusumbuka sana kutafuta tafsiri, ndoto ina maana gani, unnecessarily.
Mtu kaota amechelewa kupanda ndege, kwa sababu ni mtu wa kufikiria safari sana na anataka awe tayari nuda wote, au kaona movie ya safari, sasa hapo atataka kujua ike ndoto maana yake nini, inatabiri ni i, ina maana gani.
Unnecessary anxiety.
Kwanza unaelewa kuwa hatuelewi vizuri mambo yote tunayowaza, kwamba kuna levels nyingi za kuwaza na mawazo hayo hayaji manifest kwa namna moja yote, mengine yapo wazi sana, mengine hayapo wazi sana, mengine yapo kwenye subconscious level, na mengine ndiyo hayo yanajiweka katika ndoto, yote ni mawazo.Hicho ndio ambacho mimi nakipinga, hata kama mtu anawaza sana jambo fulani ila kuota kwake hilo jambo inaweza ikawa kuna maana kwenye hiyo ndoto hivyo si sahihi kuchukulia kwamba kuota ndoto ya mambo tunayoyawaza sana kuwa hizo ndoto ni mawazo tu kwamba imetokea kwa sababu ya kuwaza sana ila haina maana. Vp ikiwa hiyo ndoto ina msaada au ndani yake kuna jibu fulani katika hicho unachokiwaza sana? Huu mtazamo wa kwamba ni mawazo ndio maana pale mtu akiota mtu au kitu ambacho hakuwa akikiwaza anaanza kujiuliza kwanini ameota hicho kitu au huyo mtu.
Ila nakubali kwamba si kila ndoto inahitaji tafsiri, zipo ndoto haziitaji kutafsiriwa ila lakini zikawa na sababu nzuri tu inayofanya uote.
Ndo mmeamua mkae kikundi mnisimange😃 hata nyie lolAna misifa huyo mara meticulous, mara passport nda i ya bag, mara nasafiri lwenda abroad....basi ili mradi aturushe roho
Si tulikubaliana huu mwaka wa kufosi😃au?,Umeshasema una OCD. That explains a lot juu ya ndoto yako.
Ni kwamba wewe king'ang'anizi hadi kitu kinakuwa hard coded kwenye brain. Unaota kitu inayosumbua ubongo wako.
Hiyo ndoto haina maana yeyote.
Tafsiri ya hiyo ndoto ni kwamba kuna soku utapaa na ungo na kuingia rasmi kwenye uchawi MkuuNahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025
Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,
Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,
It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.
Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,
Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,
In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,
kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.
Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details
Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
Good analysisHiyo ndoto hakupitia terminal 3 document check? Pole hebu Ona maana hii harafu husianisha na maisha yako kwa mtiririko wa miez 3 nyuma. Ipo hvi
Kuota ndoto ya kuachwa na ndege kwa sababu umesahau passport kunaweza kuwa na maana ya kushindwa kufikia malengo yako au kukosa fursa muhimu maishani. Katika tafsiri ya ndoto za kisaikolojia, passport inawakilisha vibali, haki, au uwezo wa kusafiri, kufikia au kufanikiwa katika mabadiliko fulani ya maisha. Kusahau passport kunaweza kuashiria hofu ya kutokuwa tayari au kupoteza fursa muhimu, pengine kutokana na kukosa maandalizi au kuwa na wasiwasi.
Pia, ndoto kama hii inaweza kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika au kujisikia umeachwa nyuma au kupuuziliwa mbali kutokana na vikwazo au changamoto zinazokuzunguka.
Hata hivyo, tafsiri za ndoto ni za kibinafsi na zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa maisha yako. Kujitahidi kuwa na uhakika na maandalizi katika hatua zako za maisha kunaweza kuwa na manufaa.
Unaenda nchingani mrembo na mie unifiche kwa begi lako japo nipande ndegeNdo mmeamua mkae kikundi mnisimange😃 hata nyie lol
SikujuaUnaenda nchingani mrembo na mie unifiche kwa begi lako japo nipande ndege
Ndege ilikuwa emirates au qatar?Sikujua
Labda niote tena nijue destination😃