Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

Naelewa kwa mtazamo wako wa kisayansi kuhusu ndoto ni kwamba ndoto hazina maana yenye kuhitaji interpretation, ndio maana nilitaka kujua kwa vp ionekane ndoto ni mawazo tu na hakuna cha zaidi kwenye zaidi ya fikra zetu tu?
Wapi nimesema ndoto hazina maana ya kuhitaji interpretation?

Watu mawazo yao wakiwa macho tu mengine yanahitaji interpretation, unaelewa psychotherapy nini?

Unaelewa ninachoandika?
 
Ni kutokana na maelezo yako kusema kwamba ndoto zinapewa umuhimu ambao hauna na kwamba ndoto ni mabakia ya mawazo yetu tu, kwamba kama mtu amekuwa anawaza sana jambo fulani halafu akaota ndoto yenye kufanana na hilo jambo huoni kuwa hapo inahitajika tafsiri ya hiyo ndoto. Ndio maana kuna muda nilikuuliza kuna faida zipi tunaweza kupata endapo tuta pay attention ndoto zetu?
 
You are making a logical non sequitur fallacy in a way that makes it hard to make a meaningful discussion with you.
 
Comment yako ya kwanza humu iliweka wazi kabisa msimamo wako kuhusu ndoto kwamba ndoto hurudia tu kuonyesha mawazo tunayoyawaza au mambo tuliyoyaona kama movie. Tatizo likaanza pale nilipotoa mfano wa ndoto ya Elias Howe, hapo ndipo ulipoanza kujichanganya kwa kutaka uonekane unakubali kuwa ndoto zina maana na unakubali dream interpretation ila hapo hapo bado unaendelea na msimamo wa kuona kuwa ndoto si kitu cha kukipa umuhimu sana kwa sababu ndoto ni mawazo tu yetu na kwamba mtu hawezi kuota mambo nje ya mawazo yake ya kila siku.
 
Your core argument is a false dichotomy logical fallacy.

Kwa sababu ndoto zinaweza kuwa ni natokeo ya mawazo tu, zikawa na maana pia, maana hata mawazo yana maana, lakini hapohapo watu wakawa wanazipa umuhimu mkubwa sana kuliko uhalisia ulivyo.

You are making an either or dichotomy where there is none.
 
Hao watu wenye kuzipa ndoto umuhimu mkubwa kuliko uhalisia ni wakina nani? Unawakusudia wakina Sigmund freud, Carl jung, Edgar cayce au ni nani hasa? Maana suala la ndoto na tafsiri lina historia ndefu na lina mitazamo tofauti, nachojua ndoto zina umuhimu mkubwa tu na hayo ya kujua mambo yajayo si kitu chenye kufanya watu kuzipa ndoto umuhimu sasa najiuliza huo uhalisia wa kuhusu ndoto unaoujua wewe ni upi ambao unaona hauna umuhimu sana?
 
Naam,

Sigmund Freud na kundi lake hilo ni kati ya watu walioilisha dunia hii ujinga mwingi sana kuhusu umuhinu wa ndoto na mambo mengi sana kwenye saikolojia, mambo ambayo tumekuja kujua kuwa aliungaunga dhana tu bila ushahidi wala uthibitisho.

Hususan kitabu chake cha "The Interpretation of Dreams" ukikitaja kwa watu serious wanaosoma clinical psychology leo, unaonekana mtu ambaye kapitwa sana na wakati.

Zilikuwa hadithi zake tu.

Nilikuwa na girlfriend wangu mmoja alikuwa anafanya PhD/PsyD kuna siku tuliongelea haya mambo, nikamwambia Freud alikuwa na magumashi mengi sana, nikategemea atamtetea, lakini nilishangaa na yeye akasema kuwa hata wao wasomi wa Saikolojia wanajua kuwa Freud alikuwa na magumashi mengi sana.
 
Ndoto hiyo umeiota kwa mara ya kwanza au ulishawahi kuiota kabla? Kama imejirudia ndio kuna tatizo. Kama ni one off haina shida ingawa bado ina maana
 
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025

Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,

Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,

It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.

Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,

Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,

In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,

kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.

Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details

Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
Habari sio mtalaam wa mambo ya ndoto but napenda kutafakari kupitia details.

Ukicheki hapa una details kama.
1. Safari ya ndege njee ya nchi na ni yakikazi.
2. Group la wafanyakazi wenzio wakifanikiwa kuondoka kwa ndege.
3. Unashindwa kusafiri kisa passport.

Kwangu naona nikama opportunity (safari ya ndege njee ya nchi) iko mbele yako ambayo labda ni kazini kwenu na kila mtu anaitamani hiyo opportunity na anahaki ya kuipata (passport inampa mtu uwalali wa kusafiri) pia wewe ulikuwa unahiyo haki lakini umeipoteza either kwa kujua au kuto kujua. (Passport kusaulika nyumbani).

Endelea kumwomba Mwenyezi Mungu kupitia mandiko. Weka bibilia menzani mwambie Mungu naomba nifunulie hii ndoto kupitia kitabu chako.

Kwenye bibilia kutakuwa na majibu zaidi na zaidi.

Ni mawazo yangu.
 
Naam,

Sigmund Freud na kundi lake hilo ni kati ya watu walioilisha dunia hii ujinga mwingi sana kuhusu umuhinu wa ndoto na mambo mengi sana kwenye saikolojia, mambo ambayo tumekuja kujua kuwa aliungaunga dhana tu bila ushahidi wala uthibitisho.

Hususan kitabu chake cha "The Interpretation of Dreams" ukikitaja kwa watu serious wanaosoma clinical psychology leo, unaonekana mtu ambaye kapitwa sana na wakati.

Zilikuwa hadithi zake tu.

Nilikuwa na girlfriend wangu mmoja alikuwa anafanya PhD/PsyD kuna siku tuliongelea haya mambo, nikamwambia Freud alikuwa na magumashi mengi sana, nikategemea atamtetea, lakini nilishangaa na yeye akasema kuwa hata wao wasomi wa Saikolojia wanajua kuwa Freud alikuwa na magumashi mengi sana.
Ndio maana nikasema suala la ndoto na tafsiri lina historia ndefu na mitazamo tofauti, hata Carl jung ambaye alikuwa rafiki na mfuasi wake alitofautiana nae baadhi ya mitazamo ya Sigmund ila bado mchango wa Sigmund unafahamika kwenye psychoanalysis na psychology. Ingekuwa vizuri sasa ukaeleza au kutoa mifano ya mambo ambayo unaona yamekuzwa tu kwenye ndoto na kufanya ndoto zionekane zina umuhimu mkubwa na ueleze huo uhalisi wa ndoto hasa ni upi?
 
Mbona nishasema hapo awali kwamba habari nzima kuwa ndoto zina uwezo wa kutabiri mambo yajayo ni hadithi tu, huelewi wapi?
 
Nimekwambia kutabiri mambo yajayo si kitu chenye kufanya ndoto ndio zionekane zina umuhimu, unataka kuniambia wakina Sigmund freud na Carl jung wamezipa ndoto umuhimu kwa madai ya kutabiri mambo yajayo? Mfano Problem solving na Self awareness ni miongoni mwa faida zenye kupatika kw ku pay attention ndoto zetu, sasa utasema hivyo sio vitu vya kufanya ndoto kupewa umuhimu?
 
punguza kuwaza vitu ukiwa na thinker assistant K-vant center of u're seat...

umenielewa lakini ,hutatokewa na ndotohizo
 
Nimekwambia kutabiri mambo yajayo si kitu chenye kufanya ndoto ndio zionekane zina umuhimu, unataka kuniambia wakina Sigmund freud na Carl jung wamezipa ndoto umuhimu kwa madai ya kutabiri mambo yajayo? Mfano Problem solving na Self awareness ni miongoni mwa faida zenye kupatika kw ku pay attention ndoto zetu, sasa utasema hivyo sio vitu vya kufanya ndoto kupewa umuhimu?
Kwa hiyo umekubali kwamba ndoto hazina uwezo wa kutabiri yajayo kama watu wengi wanavyofikiri?

Hayo mambo ya problem solving na self awareness mbona nishasema hapo juu ndoto zinaweza kutuambia mengi kwenye psychoanalysis kwa sababu ni mawazo yanayotokea kwenye subconscious mind. Nikatoa mpaka mfano wa huyu aliyetuletea mada na ndoto yake, kwamba inawezekana anahifia sana kucheleea kwenye mambo yake na ameona kitu kilichomfikirisha kuhusu safari, na ndiyo maana akaota alivyoota.

Unataka nirudie nilichoandika hapa ndiyo uelewe?
 
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025

Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,

Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,

It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.

Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,

Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,

In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,

kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.

Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details

Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
atakuja kama mwivi, siku usiyodhania
hakikisha taa yako ina mafuta passport mfukoni daily🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo umekubali kwamba ndoto hazina uwezo wa kutabiri yajayo kama watu wengi wanavyofikiri?

Hayo mambo ya problem solving na self awareness mbona nishasema hapo juu ndoto zinaweza kutuambia mengi kwenye psychoanalysis kwa sababu ni mawazo yanayotokea kwenye subconscious mind. Nikatoa mpaka mfano wa huyu aliyetuletea mada na ndoto yake, kwamba inawezekana anahifia sana kucheleea kwenye mambo yake na ameona kitu kilichomfikirisha kuhusu safari, na ndiyo maana akaota alivyoota.

Unataka nirudie nilichoandika hapa ndiyo uelewe?
Nimesema kutabiri yajayo sio jambo lenye kufanya ndoto ndio zipewe umuhimu, kwa sababu wewe unasema ndoto zimepewa umuhimu kisa watu wanadai zinaweza kutabiri yajayo ndipo nikakujibu kuwa ndoto zina umuhimu na huo umuhimu wake haujapewa kwa sababu tu ya kutabiri mambo yajayo. Na kwa kusema hivyo haina maana ya kwamba ndoto haziwezi kutabiri yajayo au kuonyesha yale tusiyoyajua, yote hayo yanawezekana.

Sasa kama hapo jinsi unavyoelezea hiyo ndoto ya mleta mada bado unaonyesha kuwa ndoto hazina umuhimu ni mawazo tu, maana hata tukisema kuwa ni kweli mleta mada anahofia kuchelewa kwenye mambo yake na aliona kitu kilichomfikirisha kuhusu safari ila je hiyo ndoto hapo inamueleza nini au ina ujumbe gani kuhusu hiyo hofu yake?
 
Ndoto hazina uwezo wa kutabiri yajayo.

Hata ukiota kitu halafu kikaja kutokea, hiyo si kutabiri necessarily.

Mimi hata si ndoto. Wiki mbili zilizopita nilikuwa nafikiria tu, hivi mtu akifiwa na mke wake anajisikiaje?

Wiki iliyofuatilia nafungua group la Whatsapp la watu niliosoma nao, nakuta kuna mkeka rafiki yetu mmoja kafiwa na mkewe.

Ningekuwa mtu wa kuamini habari za utabiri, ningesema nilitabiri yajayo.

Lakini, statistically, tumeanza kufikia umri wa watu kufariki na kufiwa na wake/waume zao. So this is a statistically possible chance, not a prediction. Pia, kuna mambo huwa tunasikia, tunaona, tunasoma in passing, halafu hatuyakumbuki fully.

Ushawahi kuifikiria tune ya muziki, halafu hapo hapo ukausikia huo muziki redioni? Hapo unaweza kujiona kama umetabiri muziki huo kusikika, wakati ukweli ni kwamba chances are umeusikia muziki bila kujua, ukaukumbuka, halafu ukausikia tena kwa kuujua.

Sasa, hapo kama unaamini utabiri, utasema umetabiri. Lakini, ukweli ni kuwa hujajua ulichojua vizuri tu.

Nimesema hapo awali kwamba ndoto zina umuhimu wake, zinatuonesha mambo gani tunayahofia, tunayafikiria mpaka kwenye subconscious.

Ukiongea sana na watu uliosoma nao Primary School, utajikuta unaanza kuota mitaa ya ulipokulia na kusoma Primary School.

Halafu utatafuta maana ya ndoto, ndoto hii ina maana gani?

Kumbe ndoto maana yake ni kwamba you have been hanging too much with your Primary School friends on Whatsapp.
 
Hivi unafahamu kwamba asilimia kubwa watu huja kujua kwamba waliota premonition dreams ila ni baada ya tukio lenyewe kutokea? Mtu anaota ndoto ila anashindwa kujua hiyo ndoto ina maana gani wala kuhisi kama inatabiri tukio lijalo ila baada ya tukio kutokea ndipo anaweza kugundua maana ya ndoto aliyoota.

Hiyo aina ya kwanza ila aina ya pili kuna watu wapo watu wakiona symbol fulani kwenye ndoto basi wanajua hiyo ndoto inatabiri tukio gani.

Unasema ndoto zina umuhimu sasa hizo ndoto unazosema zinaonyesha tunayoyafikiria unaweza kueleza umuhimu wake ni upi?
 
Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto
Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025

Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani,

Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye napanga sana vitu vyangu in detail na inapokuja suala la safari nna kawaida ya kufungua suitcase wk1/2 kabla ya safari na kuweka mahitaji yote, na passport ni kati ya vitu vya kwanza kuweka na infact nikikaribia safari it stays in my handbag. Kwa tabia zangu nna kawaida ya kutopoteza vitu/kutosahau, its js not me...i am always on time safari zote and with everything/excess of what i need..sijawahi kuachwa safari yoyote, so kusahau passport safari ya nje ya nchi tena nikiwa mkuu wa msafara, i could never be that reckless in real life, i am the type ningekumbusha my team to check their docs and needs prior,
Ila ndo nilichoota,

It was a group trip ya kikazi na mi ndio mkuu wa msafara tushafika tunataka kuboard ndipo nabaini sina passport(sikuona why sikuwa demanded passport wakati wa kupewa boarding pass ama immigration) but natambua tuko Terminal 3.

Ninakoishi ni mwendo wa abt 10 mins to Airport kwa boda and time looked to be enough kufanikisha hilo so i made calls niletewe, niliowapigia 2 waliopo nyumbani 1 aliyenileta airport akawa unreacheable 1 kapokea ila hayupo home(huwa wanasema watu hawajawahi kuota wanatumia simu, i js did nayo sijui maana yake)...
Inshort nilifanya juhudi kubwa sana hadi za kumtrack by location mtu aliye home bila mafanikio na wasafiri/staff wenzangu walisafiri kimyakimya nobody called/msg'd my progress ya kuletewa passport - subtly giving a msg ambayo sikuielewa pia, why are these people so cold? Ingekuwa mwingine ningeboard wa mwisho nahisi ili kumsaidia aletewe hiyo doc/ninge'reschedule kbs safari yake kwa agent/whatever,
So hiyo imenipa shida kdg,

Nikapiga simu AirTz kureschedule nikawrong number wkt i always hv their number saved,na nishapiga prior, inapokelewa na mwingine saivi how? Inshort sikusafiri/ku'reschedule na niliondoka kurudi nyumbani na ndoto ikaishia hapo,

In my real life kabla ya kulala, nilioga got to my bed, nikasali na kutafakari kwa kusoma majina mazuri ya Mwenyezi Mungu na niliweka alarm sa 9:15 ili niamke nisali tena na kutafakari zaidi ukuu wa Mungu, the alarm rang sikusikia(i usually wake up to all alarms) nimekuta snooze zinaendelea sa 12 asbh and they snooze after every 8mins na sikusikia kitu for hours,

kimaisha i am fine Alhamdullilah ila nna changamoto moja kubwa kimahusiano naiombea na hii leo nilidhamiria kufunga na kusali kwa ajili hiyo, pia muda mrefu nimekuwa nikiomba Mungu anieleweshe kuhusu sehemu nilipo kimaisha ikibidi hata kwa ndoto.

Sina kawaida ya kuota na nikiota sikumbuki vingi, for the first time ina long time leo nimeota na nimekumbuka details nyingi
Imenipa huzuni sio furaha
Naomba msaada wa tafsiri tafadhali
Consider details

Btw can someone tag Mwl Mwakasege for me😃(i wiiish)
Ndiye alifundisha issue za ndoto na nikaelewa
Ungepanda ndege kwenye ndoto ungekufa
 
Back
Top Bottom