Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni

FB_IMG_1650186856300.jpg
 
Bila vipimo na kujua unapojenga ni tambarare au la ni ngumu sana kupata makadirio ya bei
Nipo handeni tanga, eneo ni tambarare na ufongo ni tifu tifu. Natarajia kutumia matofali ya kuchoma @ 100. Ukubwa wa kila chumba ni futi 12×8 .
 
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni

View attachment 2194380
Boss choo kipo barazani, basi gharama yake itakua ndogo sana[emoji1][emoji1]
 
Siku hizi Watu Hawajengi Kiholela holela. Fuata Taratibu

Nunua Ramani
Nenda Kaipitishe Ramani kwenye Mamlaka ya Ardhi.
Pata Kibali cha Ujenzi
Pata Mafundi Wazuri
 
Nilitaka kujua overall rough estimates ili nikienda kwa fundi wa mtaani asinipige
chumba kidogo walau fut10.nane hapana...tafta fundi mlipe japo kidogo akupe hesab ya material.tuheshim kaz kama unavoheshim kaz ako.. tusipende vya bure ni ghal sana..mfano raman tu umekosea sana kuipangilia ..si rahis ivo that's why watu wanasomea
 
Sawa mkuu
 
Ramani yako mbaya sana. Chukua hizo nimetoa mtandaoni. Weka vipimo, japo ni bora utafute architect akupe ramani full ujue hafa na muonekano wa nyumba baada ya kukamilika utakuwaje.View attachment 2198388View attachment 2198389

Hujamuelewa mleta mada
Jamaa anataka kujenga nyumba ya kukimbia kupanga so anajenga temporal house tu sio kubwa kama ramani yako ilivyo

Btw naungana na wewe ramani yake Mbaya haina hata ushirikiano an
 
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni

View attachment 2194380
Ukiwa na miliini 18 hii nyumba unaweza ukahamia kibishi bishi, yani uje umalizie ukiwa unaishi ndani bila hata ya sakafu.
Japo una ramani mbaya sana .
 
Back
Top Bottom