HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
haaaaahaaaaaUkiwa na miliini 18 hii nyumba unaweza ukahamia kibishi bishi, yani uje umalizie ukiwa unaishi ndani bila hata ya sakafu.
Japo una ramani mbaya sana .
sidhani kama mdau alifikilia kufikia hiyo m18