Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mkuu pamoja na kuwa ni mapenz yako Kwa Raman hii naomba nikupe sketch hiiWakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
View attachment 2194380
Nipo handeni tanga, eneo ni tambarare na ufongo ni tifu tifu. Natarajia kutumia matofali ya kuchoma @ 100. Ukubwa wa kila chumba ni futi 12×8 .Bila vipimo na kujua unapojenga ni tambarare au la ni ngumu sana kupata makadirio ya bei
Ni Kwa bei gani mkuuMkuu pamoja na kuwa ni mapenz yako Kwa Raman hii naomba nikupe sketch hii
Boss choo kipo barazani, basi gharama yake itakua ndogo sana[emoji1][emoji1]Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
View attachment 2194380
Boss choo kipo barazani, basi gharama yake itakua ndogo sana[emoji1][emoji1]
Mbona unacheka mkuu?! Me nimeipenda hii ramani kwa kuanziaBoss choo kipo barazani, basi gharama yake itakua ndogo sana[emoji1][emoji1]
chumba kidogo walau fut10.nane hapana...tafta fundi mlipe japo kidogo akupe hesab ya material.tuheshim kaz kama unavoheshim kaz ako.. tusipende vya bure ni ghal sana..mfano raman tu umekosea sana kuipangilia ..si rahis ivo that's why watu wanasomeaNilitaka kujua overall rough estimates ili nikienda kwa fundi wa mtaani asinipige
Sawa mkuuchumba kidogo walau fut10.nane hapana...tafta fundi mlipe japo kidogo akupe hesab ya material.tuheshim kaz kama unavoheshim kaz ako.. tusipende vya bure ni ghal sana..mfano raman tu umekosea sana kuipangilia ..si rahis ivo that's why watu wanasomea
Aisee hii ramani mbona mbaya sana. Taruta ramani simple hata uki Google unapata mkuu.Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
View attachment 2194380
Sawa mkuuu. Ila niambie ubaya wakeAisee hii ramani mbona mbaya sana. Taruta ramani simple hata uki Google unapata mkuu.
Choo kipo barazani?Sawa mkuuu. Ila niambie ubaya wake
Ramani ya kizamani sana hiyo mkuu. Hata vijijini wame improve kutumia ramani za kisasaSawa mkuuu. Ila niambie ubaya wake
Ramani yako mbaya sana. Chukua hizo nimetoa mtandaoni. Weka vipimo, japo ni bora utafute architect akupe ramani full ujue hafa na muonekano wa nyumba baada ya kukamilika utakuwaje.View attachment 2198388View attachment 2198389
Muwekee tu wastani , chumba cha kulala kikiwa mita tatu kwa tatu unusu kinatosha kabisaBila vipimo na kujua unapojenga ni tambarare au la ni ngumu sana kupata makadirio ya bei
Ukiwa na miliini 18 hii nyumba unaweza ukahamia kibishi bishi, yani uje umalizie ukiwa unaishi ndani bila hata ya sakafu.Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
View attachment 2194380