Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

Ramani yako mbaya sana. Chukua hizo nimetoa mtandaoni. Weka vipimo, japo ni bora utafute architect akupe ramani full ujue hafa na muonekano wa nyumba baada ya kukamilika utakuwaje.View attachment 2198388View attachment 2198389
Mkuu kwa bajeti yangu hii ramani hainihusu kabisaa😅 shida yangu ni kutoka kwenye room ya kupanga. Kiwanja kipo tayari. Kwa huku Tofali ya kuchoma ni TSH 100 au 120. Nina 6m.
 
Mkuu kwa bajeti yangu hii ramani hainihusu kabisaa😅 shida yangu ni kutoka kwenye room ya kupanga. Kiwanja kipo tayari. Kwa huku Tofali ya kuchoma ni TSH 100 au 120. Nina 6m.
Mkuu 6m kwa sehemu wanayouza tofari 100 rekebisha hiyo raman chap uanze ujenzi itakusogeza maana hio nyumba unapenda hata bati 30 hazizidi. So kwa hiyo 6m hata bpma unasimamisha fresh......usitishwe na mamilioni wanayoyasema wengi.
 
Shukrani sana mkuu
 
Yaani hata 10m sina yeye anaongelea 18 😅
Sina maana ya kukukatisha tamaa ila najaribu tu kukupa fact
Nyumba ya chumba tatu bati pekee zaweza fika millioni 4, mbao za kuezeka na misumari weka 3 millioni pamoja na fundi wa kuezeka famya milioni , paa la nyumba ya room3 laweza fika milioni 8
Hii hela ya kuezeka pengine ndo pesa inatakiwa iwekwe stand by kuliko pesa yoyote ,ni pesa inaleta maumivu makali kwenye ujenzi , maana inatumika kwa muda mfupi sana ,
To the best of my knowledge pesa ya kunyanyua boma kuanzia msingi hadi linta huwa ni karibu sawa na pesa ya kuezeka
8mil +8 mil =16 mil, hzio 2 mil nimeweka misc.
 
Mkuu kwa bajeti yangu hii ramani hainihusu kabisaa[emoji28] shida yangu ni kutoka kwenye room ya kupanga. Kiwanja kipo tayari. Kwa huku Tofali ya kuchoma ni TSH 100 au 120. Nina 6m.
Basi jenga room na sebule hamia achana na habari za ramani. Ungeuliza kwa milioni 6 unaweza kujenga nyumba ya aina gani?
 
Mkuu kwa bajeti yangu hii ramani hainihusu kabisaa[emoji28] shida yangu ni kutoka kwenye room ya kupanga. Kiwanja kipo tayari. Kwa huku Tofali ya kuchoma ni TSH 100 au 120. Nina 6m.

Tafuta raman nyingine inayoendana n hio 6m kama unataka hio hio hakikisha hicho choo hakikai mbele ya nyumba mlangoni kwa kuingilia , hata harufu ya choo itakuwa inarudi ndani , sijajua mazingira unayoishi ila kwa matumizi ya choo cha ndani uwe na maji ya kutosha
 
Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni

View attachment 2194380

Unatakiwa utoe vipimo vyako vya upana wa nyumba pande zote utapewa majibu sahii hapo utakata tamaa mana kila mtu atapiga anavojua yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…