Naomba tofauti ya maneno haya yanayotumiwa serikalini

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa vipimo

Vigezo vipi vinatumika kutofautisha na mtumizi yake
 
1.idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2.kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3.mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5.Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6.Tume mfano tume ya uchaguzi
7.baraza mfano baraza la michezo

Vigezo vipi vinatumika kutofautisha na mtumizi yake
Swali zuri
 
Mamlaka.. authority.. power... nguvu... mamlaka ya mapato... lazma ulipe kodi..
 
Toeni muongozo basi mliopo kwenye Idara, Kurugenzi, Mamlaka, Wakala, Taasisi, Tume, Baraza
Mimi naomba nitofautishe pia kipengele cha Idara kuna Idara ambazo zinakua chini ya Kurugenzi Fulani kama Idara ya maji,idara ya mipango,idara ya ustawi wa jamii nk halafu kuna haya MAIDARA ambayo kwa jina ni Idara ila sio Idara hizo kama Idara ya Mahakama,Idara ya Uhamiaji na Idara ya UWT

Tukirudi kwenye mada ntaongelea kuhudu Agency/Wakala na Mamlaka/Authority

Hizi zote zinakua na semi autonomy wa kupanga mipango yake yenyewe na kuisimamia bila kuingiliwa kwa kiwango kikubwa na Wizara mama. Na nyingi kisheria zina uwezo wa kukusanya maduhuli ya serikali na hapa ndo tunakutana na wale walikua wanajipangia mishahara minono

Ntarudi
 
Agency ni mdogo ukilinganisha na mamlaka kwenye kujisimamia. Hapo kuna issue za semi autonomous na autonomous ambapo mamlaka anakuwa autonomous yaani eyes on but hands off.. kwa hiyo agency maamuzi yake bado yanasimamia na sheria nyingi zinatoka kwenye other organs za serikali.
 
Mimi naomba nitofautishe pia kipengele cha Idara kuna Idara ambazo zinakua chini ya Kurugenzi Fulani kama Idara ya maji,idara ya mipango,idara ya ustawi wa jamii nk halafu kuna haya MAIDARA ambayo kwa jina ni Idara ila sio Idara hizo kama Idara ya Mahakama,Idara ya Uhamiaji na Idara ya UWT

Tukirudi kwenye mada ntaongelea kuhudu Agency/Wakala na Mamlaka/Authority

Hizi zote zinakua na semi autonomy wa kupanga mipango yake yenyewe na kuisimamia bila kuingiliwa kwa kiwango kikubwa na Wizara mama. Na nyingi kisheria zina uwezo wa kukusanya maduhuli ya serikali na hapa ndo tunakutana na wale walikua wanajipangia mishahara minono

Ntarudi
Endelea
 
Nipo tayari kuelekezwa lakini mbona umeacha neno kusimamia kwenye sentence. Sio sawa take the whole sentence and not cherry picking. Huu ni mjadala tu
Wengi wetu hatujui lengo tuelewe kwa pamoja relax mkuu
 
Wakala au agent ni mwakilishi anaweza kuwa mwakilishi was serikali, kampuni, NGO, nk

2.idara (department) ni division ndani ya kampuni au serikali au organization yoyote ambayo inashughulikia Jambo Fulani pekee (specific) iko kwa ajili ya Jambo Hilo tu
Hivyo serikali nayo ina ifara zaie Kama hyo ya usalama was taifa, uhamiaji nk

3.authority (mamlaka) hzi ni organization ambazo zimepewa mamlaka na kusima ia Jambo fulani na kutoa maamuzi pamoja na kutunga Sheria katika Jambo Hilo,
Mf mamlaka ya Hali ya hewa

4.taasisi hi ni organization ya kudumu inayoundwa kusimamia Jambo fulani, na ndani yake kunaweza kuwa na idara tofauti tofauti mfano taasisi ya elimu,
Mara nyingi taasisi za serikali zinaanzishwa na wizara husika
Hvyo taasisi zinakuwa chini ya wizara fulani

Kama nimekosea Niko tayar kurekebishwa
 
Back
Top Bottom