Swali zuri1.idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2.kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3.mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5.Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6.Tume mfano tume ya uchaguzi
7.baraza mfano baraza la michezo
Vigezo vipi vinatumika kutofautisha na mtumizi yake
Mimi naomba nitofautishe pia kipengele cha Idara kuna Idara ambazo zinakua chini ya Kurugenzi Fulani kama Idara ya maji,idara ya mipango,idara ya ustawi wa jamii nk halafu kuna haya MAIDARA ambayo kwa jina ni Idara ila sio Idara hizo kama Idara ya Mahakama,Idara ya Uhamiaji na Idara ya UWTToeni muongozo basi mliopo kwenye Idara, Kurugenzi, Mamlaka, Wakala, Taasisi, Tume, Baraza
Agency ni mdogo ukilinganisha na mamlaka kwenye kujisimamia. Hapo kuna issue za semi autonomous na autonomous ambapo mamlaka anakuwa autonomous yaani eyes on but hands off.. kwa hiyo agency maamuzi yake bado yanasimamia na sheria nyingi zinatoka kwenye other organs za serikali.Mimi naomba nitofautishe pia kipengele cha Idara kuna Idara ambazo zinakua chini ya Kurugenzi Fulani kama Idara ya maji,idara ya mipango,idara ya ustawi wa jamii nk halafu kuna haya MAIDARA ambayo kwa jina ni Idara ila sio Idara hizo kama Idara ya Mahakama,Idara ya Uhamiaji na Idara ya UWT
Tukirudi kwenye mada ntaongelea kuhudu Agency/Wakala na Mamlaka/Authority
Hizi zote zinakua na semi autonomy wa kupanga mipango yake yenyewe na kuisimamia bila kuingiliwa kwa kiwango kikubwa na Wizara mama. Na nyingi kisheria zina uwezo wa kukusanya maduhuli ya serikali na hapa ndo tunakutana na wale walikua wanajipangia mishahara minono
Ntarudi
Baraza mara nyingi wanalenga kutoa ushauri au kusimamia issue fulani.Toeni muongozo basi mliopo kwenye Idara, Kurugenzi, Mamlaka, Wakala, Taasisi, Tume, Baraza
EndeleaMimi naomba nitofautishe pia kipengele cha Idara kuna Idara ambazo zinakua chini ya Kurugenzi Fulani kama Idara ya maji,idara ya mipango,idara ya ustawi wa jamii nk halafu kuna haya MAIDARA ambayo kwa jina ni Idara ila sio Idara hizo kama Idara ya Mahakama,Idara ya Uhamiaji na Idara ya UWT
Tukirudi kwenye mada ntaongelea kuhudu Agency/Wakala na Mamlaka/Authority
Hizi zote zinakua na semi autonomy wa kupanga mipango yake yenyewe na kuisimamia bila kuingiliwa kwa kiwango kikubwa na Wizara mama. Na nyingi kisheria zina uwezo wa kukusanya maduhuli ya serikali na hapa ndo tunakutana na wale walikua wanajipangia mishahara minono
Ntarudi
Nipo tayari kuelekezwa lakini mbona umeacha neno kusimamia kwenye sentence. Sio sawa take the whole sentence and not cherry picking. Huu ni mjadala tuBaraza la mitihani? Linashauri kweli