Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
 
Kama ni mfuatiliaji wa Mpira wa ulaya basi kikombe wanachocheza simba afrika kinafanana na wanachocheza Real Madrid ulaya kwa msimu huu, na wanachocheza yanga afrika kinalingana na wanachocheza Man Utd huko ulaya...usipoelewa shabikia ngumi Mandonga mtu kazi
 
Dah mkuu ndio umenipoteza kabisaaa basi nijibu je as they all go up in these different trophies watakutana? Kimtanange?
 
Mambo ya utani yatakupoteza.Simba wapo mashindano ya kugombea kombe lenye mapesa mengi na ndiyo mashindano makubwa.Yanga baada ya kushindwa huko,ndiyo wakatupwa(wakatupwa sisitiza)kwenye kombe dogo.Usiseme wao ni "losers"!Hawakawii kulia kwa kwikwi utadhani ni ugonjwa.🤔
 
Hapa nimekuelewa mkuu kumbe tunaenda kuvuna kitita God bless Simba!
 
Nadhani unachotakiwa kujua ligi wanayoshiriki Yanga ni kama championship kwa hapa bongo alafu ligi kuu yenyewe ya Tanzania ndio wanashiriki Simba

Yaani ukionyesha uwezo ligi ya championship ndio unapanda daraja ligi kuu

Ukicheza ufwamba ligi kuu ndio unashuka daraja la chini ambalo ni championship

Nadhani mfano huu ni rahisi
 
Asante sana mkuu !
 
Sasa ngebe zote za nini Yanga wakati wanacheza kombe la ndondo?
 
Kama ni mfuatiliaji wa Mpira wa ulaya basi kikombe wanachocheza simba afrika kinafanana na wanachocheza Real Madrid ulaya kwa msimu huu, na wanachocheza yanga afrika kinalingana na wanachocheza Man Utd huko ulaya...usipoelewa shabikia ngumi Mandonga mtu kazi
Naam nadhani ameelewa sasa
 
Mambo ya utani yatakupoteza.Simba wapo mashindano ya kugombea kombe lenye mapesa mengi na ndiyo mashindano makubwa.Yanga baada ya kushindwa huko,ndiyo wakatupwa(wakatupwa sisitiza)kwenye kombe dogo.Usiseme wao ni "losers"!Hawakawii kulia kwa kwikwi utadhani ni ugonjwa.🤔
Umeeleweka
 
Nadhani unachotakiwa kujua ligi wanayoshiriki Yanga ni kama championship kwa hapa bongo alafu ligi kuu yenyewe ya Tanzania ndio wanashiriki Simba

Yaani ukionyesha uwezo ligi ya championship ndio unapanda daraja ligi kuu

Ukicheza ufwamba ligi kuu ndio unashuka daraja la chini ambalo ni championship

Nadhani mfano huu ni rahisi
Mfano umeeleweka! Simba anashiriki kombe la championship na Yanga Ligi kuu
 
Back
Top Bottom