"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..."

ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu wako...kwanini ulikubali kuolewa na mtu mwingine...

YAANI UNAENDA KUMGEA MTU WAKO UMPENDAYE KWA MARA YA MWISHO MWISHO...anakuchakaza ile chakachaka...YAANI KIPIGO CHA MBWA MWIZI...yaani hasira zote anazimalizia hapo...

Kumbe ndio wanauanzisha mwanzo mpya wa kupasha kiporo chao watakapoingia ndoani na mme wake...

Najua wapo waliowahi kuambiana na mademu zao kuwa tufanye ya mwisho kabla ya harusi...alafu kwenye harusi naye ni mgeni mwalikwa maalum kwa bibi harusi...wakati jana kabla ya leo AMEKUNG'UTWA MKONG'OTO USIO WA KAWAIDA...

Hii dhambi mbaya sanaaa...lakini hakuna dhambi isiyosameheka mbele ya Allah...cha msingi TOBA tu kabla ya kufa...

TUMUOGOPE ALLAH BASI...KAMA HUMHESHIMU MUMEO...
 
Mkuu umeandika mada nzuri sana, isipokuwa mambo umeya'group'.

Ipo hivii? Tendo moja la kufanya mapenzi lina maana ndogondogo nyingi sana, mfano: ndoa, kubakwa, tamaa, kinyongo, kudhalilisha, rushwa, umalaya, starehe, visasi, mitego kwa ajili ya kudhuru ama kutia hatiani, kupata habari, kuangamiza, kubambikia mimba na kesi, nk nk.

Kwa hiyo lengo la hao wapenzi wa zamani wanaoagana kwa njia ya ngono mkesha wa ndoa, madhumuni ya mapenzi yao huko nyuma yalikuwa ni ya malengo gani?

Kama nilivyokwisha eleza hapo juu, kufanya mapenzi hakuna maana moja.

Ila nasikia pengine huwa ni mbinu za wanawake kumnanga huyo hawara yake kwamba,....'wewe ulisema cha nini, wenziyo waliwaza watakipata lini na sasa wametenda kuliko wewe dhaifu. Umetumia domo lako miaka nenda rudi ku cheat, sasa ndiyo basi tena utaikosa mazima'....

Hapo wanaume wenye akili hujisikia dhohari sana na dhaifu wa kweli kifuani pa mwanamke.

Na wengi hutoa machozi kabisa ya kutiririsha na kilio cha sauti ambacho hubakia siri yao, maana kwa mwanaume kulia kinyonge kifuani pa mwanamke ni uzumbukuku usiostahili shime.

'Kani' inayotumika siku hiyo, kama ikirikodiwa yaweza kulinganishwa na 'romance' ndogondogo 100 ama zaidi kwa pa1 zilizokwishafanyika siku za nyuma.

Nimeshuhudia matukio ya namna hiyo zaidi ya mara3, wanaume dhaifu 'kabila hiyo' hujitutumua siku hiyo ya kuagana na kushawishi kumharibia ndoa huyo mwanamke, aidha kwa kumlaghai watoroke pa1, ama mwanamke akaikane ndoa yake madhabahuni katika kile kipengele cha swali la liulizwalo kwamba: 'umekubali kuolewa na bwana... awe mume wako...'?

Hapo hukataa katakata Kwa kusingizia kalazimishwa kuolewa na mtu ambaye si chaguo lake na ndoa hapo huharibika.

Hapo huwa wamevamia penzi ambalo hawakulikusudia na matokeo yake ni kufeli.
 
Kuna mwanasaikolojia mmoja anasema hakuna uhusiano between SEX and LOVE.

Sisi ndo tunakosea sana katika kufikiri kwetu.

Back
Top Bottom