"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

Mkuu jinsi ulivyochanganya baadhi ya maneno umeandika kwa herufi kubwa mengine madogo umenikumbusha jamaa wa tala wanavyodai hela yao wanaandika ivyo ivyo.
Mpuuzi wewe...
 
Mpuuzi wewe...
Mpuuzi ni mtu asiyechukulia jambo kwa uzito wake. Kwa tafsiri iyo ya harakaharaka nioneshe upuuzi wangu uko wapi ukishindwa niruhusu nikuite bongolala.
 
Hii mambo inakera sana,na ipo kwa wote hata wanaume,jamaa yangu kesho anaoa leo kalala kwa mwanamke mwingine...
 
Wanawake wa aina yako ni wachafu sana...mawazo hayo yanasadifu na wewe ni mchepukaji mkubwa mno...so unatetea uchepukaji wako...

WIVU KWA MWANAUME NI ASILI...MWANAMKE NI KISIRANI TU...
Kuchepuka sijawai cos ua nadeal na smart man only..alafu usiseme sisi hatuna wivu eti ni kisirani tuu.. we utakua unadate kina mwajuma ndalandefu ndo hawanaga uwivu ni visirani tuu.

Nilichomaanisha muache kua vitombi sasa ww unapanic nn kwani ni lazma ue na list kubwa ya wanawake au uchepuke?..msituchukulie poa tuna wivu na tunapenda. Mwajuma wako mwenye kisirani mpeleke kwenye maombi.😂😂😂😂😂😂.
 
Nishaaga mademu watatu kabla ya ndoa zao. Sio ujanja il ndio fani ilivyo na kuna raha yake kula mwisho mwisho
 
Huu mjadala ni subjective, wote waliowahi Kufanya hivyo wanatetea na wasiowahi wanapinga. Mi niko upande wa wanaopinga, huu mlango wa zinaa na uasherati unafungua backdoor nyingi sana ambazo huleta shida kwenye familia Mpya pasipo wengi kujua mlango uliosababisha shida hizo.

Nashauri tu, hakuna kipya unachopata. Kama angekupenda angekuoa/olewa na wewe kwa hali yoyote Ile. Wasaalam
 
Huu mjadala ni subjective, wote waliowahi Kufanya hivyo wanatetea na wasiowahi wanapinga. Mi niko upande wa wanaopinga, huu mlango wa zinaa na uasherati unafungua backdoor nyingi sana ambazo huleta shida kwenye familia Mpya pasipo wengi kujua mlango uliosababisha shida hizo.

Nashauri tu, hakuna kipya unachopata. Kama angekupenda angekuoa/olewa na wewe kwa hali yoyote Ile. Wasaalam
Vikahaba lazima vitetee...
 
Hivi kwanini linapotokea hili, lawama zote zinaelekezwa kwa mwanamke ilhali wanaume pia wanafanya hili, ila hawalaumiwi kwa kiasi hicho?
 
Mkuu umeandika mada nzuri sana, isipokuwa mambo umeya'group'.

Ipo hivii? Tendo moja la kufanya mapenzi lina maana ndogondogo nyingi sana, mfano: ndoa, kubakwa, tamaa, kinyongo, kudhalilisha, rushwa, umalaya, starehe, visasi, mitego kwa ajili ya kudhuru ama kutia hatiani, kupata habari, kuangamiza, kubambikia mimba na kesi, nk nk.

Kwa hiyo lengo la hao wapenzi wa zamani wanaoagana kwa njia ya ngono mkesha wa ndoa, madhumuni ya mapenzi yao huko nyuma yalikuwa ni ya malengo gani?

Kama nilivyokwisha eleza hapo juu, kufanya mapenzi hakuna maana moja.

Ila nasikia pengine huwa ni mbinu za wanawake kumnanga huyo hawara yake kwamba,....'wewe ulisema cha nini, wenziyo waliwaza watakipata lini na sasa wametenda kuliko wewe dhaifu. Umetumia domo lako miaka nenda rudi ku cheat, sasa ndiyo basi tena utaikosa mazima'....

Hapo wanaume wenye akili hujisikia dhohari sana na dhaifu wa kweli kifuani pa mwanamke.

Na wengi hutoa machozi kabisa ya kutiririsha na kilio cha sauti ambacho hubakia siri yao, maana kwa mwanaume kulia kinyonge kifuani pa mwanamke ni uzumbukuku usiostahili shime.

'Kani' inayotumika siku hiyo, kama ikirikodiwa yaweza kulinganishwa na 'romance' ndogondogo 100 ama zaidi kwa pa1 zilizokwishafanyika siku za nyuma.

Nimeshuhudia matukio ya namna hiyo zaidi ya mara3, wanaume dhaifu 'kabila hiyo' hujitutumua siku hiyo ya kuagana na kushawishi kumharibia ndoa huyo mwanamke, aidha kwa kumlaghai watoroke pa1, ama mwanamke akaikane ndoa yake madhabahuni katika kile kipengele cha swali la liulizwalo kwamba: 'umekubali kuolewa na bwana... awe mume wako...'?

Hapo hukataa katakata Kwa kusingizia kalazimishwa kuolewa na mtu ambaye si chaguo lake na ndoa hapo huharibika.

Hapo huwa wamevamia penzi ambalo hawakulikusudia na matokeo yake ni kufeli.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom