"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

Sasa apo kwani shida nnn? dhambi zote ni sawa..kunya anakunyaga kuku tuu ila kwa bata eti kaharisha..99 percent ya wanaume ndoani wanacheat sasa kwani si ni sawa na anavocheat bibi harusi wako mtarajiwa? afu nashangaaga sana wanaume ndo wanaoumiaga zaidi wakisalitiwa ndomana kusamehe wakikufumania ni ngumu sana..sasa kama mnajua inauma sana kumegewa kwanini nanyinyi mnapenda sana kutumbukia kila shimo? mnavoumia nasisi tunaumia da same.

Na ndo mjue kutulia mnavochagua wake zenu. Vinginevyo mtato...mb..ewa sanaaaaaa[emoji23] na vigezo vyenu vya insta ivyo kazi mnayo.
Pole Aisee, Life Aint Fair
 
Hebu tudokezee yaliyojiri...
Binti anampenda mtu mwingine.mazingira na wazazi wanakataa asiwe nae.binti kakataa kutafuta mtu mwingine.mama kafanya match making na mtoto wa shoga ake.katishiwa laana.mahari imetolewa tarehe ya harusi imepangwa..ila binti hajaacha kulala na jamaa yake wa mwanzo na kakataa katakata kumuacha.anaplan kujipa talaka soon baada ya ndoa.It is complicated!!
 
nani alaumiwe when it comes to such situations ndomana tunasema dont judge maana kila mtu anasababu zake
Binti anampenda mtu mwingine.mazingira na wazazi wanakataa asiwe nae.binti kakataa kutafuta mtu mwingine.mama kafanya match making na mtoto wa shoga ake.katishiwa laana.mahari imetolewa tarehe ya harusi imepangwa..ila binti hajaacha kulala na jamaa yake wa mwanzo na kakataa katakata kumuacha.anaplan kujipa talaka soon baada ya ndoa.It is complicated!!
 
Binti anampenda mtu mwingine.mazingira na wazazi wanakataa asiwe nae.binti kakataa kutafuta mtu mwingine.mama kafanya match making na mtoto wa shoga ake.katishiwa laana.mahari imetolewa tarehe ya harusi imepangwa..ila binti hajaacha kulala na jamaa yake wa mwanzo na kakataa katakata kumuacha.anaplan kujipa talaka soon baada ya ndoa.It is complicated!!
JAPO SIO SABABU YA KUZINI ZINI TU...CHA MSINGI MTU USIFORCE KUOA USIPOTAKIWA...MABINT WA SASA SIO SAWA NA WALE WA ZAMANI...KALAZIMISHWA...UNAKUTA BIKRA UNATINDUA ANAKUPENDA MAISHA YANASONGA...
 
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..."

ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu wako...kwanini ulikubali kuolewa na mtu mwingine...

YAANI UNAENDA KUMGEA MTU WAKO UMPENDAYE KWA MARA YA MWISHO MWISHO...anakuchakaza ile chakachaka...YAANI KIPIGO CHA MBWA MWIZI...yaani hasira zote anazimalizia hapo...

Kumbe ndio wanauanzisha mwanzo mpya wa kupasha kiporo chao watakapoingia ndoani na mme wake...

Najua wapo waliowahi kuambiana na mademu zao kuwa tufanye ya mwisho kabla ya harusi...alafu kwenye harusi naye ni mgeni mwalikwa maalum kwa bibi harusi...wakati jana kabla ya leo AMEKUNG'UTWA MKONG'OTO USIO WA KAWAIDA...

Hii dhambi mbaya sanaaa...lakini hakuna dhambi isiyosameheka mbele ya Allah...cha msingi TOBA tu kabla ya kufa...

TUMUOGOPE ALLAH BASI...KAMA HUMHESHIMU MUMEO...
Hahaha
 
Back
Top Bottom