AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
- #21
Mbili hapo nimeziona...shukran bint mwema...Allah akuhifadhi...Hiyo hapo ni criminal minds
Nyingine ni Innocent man, My fair lady , Good Doctor, mackerel run na nyinginezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbili hapo nimeziona...shukran bint mwema...Allah akuhifadhi...Hiyo hapo ni criminal minds
Nyingine ni Innocent man, My fair lady , Good Doctor, mackerel run na nyinginezo
Siri yangu...BI IDHNI LLAH NITAJA KWAMBIA MBELENI...Kwamba...,?
Kabisaaaaa...Mkuu umeandika mada nzuri sana, isipokuwa mambo umeya'group'.
Ipo hivii? Tendo moja la kufanya mapenzi lina maana ndogondogo nyingi sana, mfano: ndoa, kubakwa, tamaa, kinyongo, kudhalilisha, rushwa, umalaya, starehe, visasi, mitego kwa ajili ya kudhuru ama kutia hatiani, kupata habari, kuangamiza, kubambikia mimba na kesi, nk nk.
Kwa hiyo lengo la hao wapenzi wa zamani wanaoagana kwa njia ya ngono mkesha wa ndoa, madhumuni ya mapenzi yao huko nyuma yalikuwa ni ya malengo gani?
Kama nilivyokwisha eleza hapo juu, kufanya mapenzi hakuna maana moja.
Ila nasikia pengine huwa ni mbinu za wanawake kumnanga huyo hawara yake kwamba,....'wewe ulisema cha nini, wenziyo waliwaza watakipata lini na sasa wametenda kuliko wewe dhaifu. Umetumia domo lako miaka nenda rudi ku cheat, sasa ndiyo basi tena utaikosa mazima'....
Hapo wanaume wenye akili hujisikia dhohari sana na dhaifu wa kweli kifuani pa mwanamke.
Na wengi hutoa machozi kabisa ya kutiririsha na kilio cha sauti ambacho hubakia siri yao, maana kwa mwanaume kulia kinyonge kifuani pa mwanamke ni uzumbukuku usiostahili shime.
'Kani' inayotumika siku hiyo, kama ikirikodiwa yaweza kulinganishwa na 'romance' ndogondogo 100 ama zaidi kwa pa1 zilizokwishafanyika siku za nyuma.
Nimeshuhudia matukio ya namna hiyo zaidi ya mara3, wanaume dhaifu 'kabila hiyo' hujitutumua siku hiyo ya kuagana na kushawishi kumharibia ndoa huyo mwanamke, aidha kwa kumlaghai watoroke pa1, ama mwanamke akaikane ndoa yake madhabahuni katika kile kipengele cha swali la liulizwalo kwamba: 'umekubali kuolewa na bwana... awe mume wako...'?
Hapo hukataa katakata Kwa kusingizia kalazimishwa kuolewa na mtu ambaye si chaguo lake na ndoa hapo huharibika.
Hapo huwa wamevamia penzi ambalo hawakulikusudia na matokeo yake ni kufeli.
Duuuuh...Hapana namaanisha zambi
Bila shaka ni Good Doctor na Innocent manMbili hapo nimeziona...shukran bint mwema...Allah akuhifadhi...
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..."
ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu wako...kwanini ulikubali kuolewa na mtu mwingine...
YAANI UNAENDA KUMGEA MTU WAKO UMPENDAYE KWA MARA YA MWISHO MWISHO...anakuchakaza ile chakachaka...YAANI KIPIGO CHA MBWA MWIZI...yaani hasira zote anazimalizia hapo...
Kumbe ndio wanauanzisha mwanzo mpya wa kupasha kiporo chao watakapoingia ndoani na mme wake...
Najua wapo waliowahi kuambiana na mademu zao kuwa tufanye ya mwisho kabla ya harusi...alafu kwenye harusi naye ni mgeni mwalikwa maalum kwa bibi harusi...wakati jana kabla ya leo AMEKUNG'UTWA MKONG'OTO USIO WA KAWAIDA...
Hii dhambi mbaya sanaaa...lakini hakuna dhambi isiyosameheka mbele ya Allah...cha msingi TOBA tu kabla ya kufa...
TUMUOGOPE ALLAH BASI...KAMA HUMHESHIMU MUMEO...
mimi ningenunua mtungi wa gas nimchome ,acha gunia
Kuna mwanasaikolojia mmoja anasema hakuna uhusiano between SEX and LOVE.
Sisi ndo tunakosea sana katika kufikiri kwetu.
Kivipi?
Sasa apo kwani shida nnn? dhambi zote ni sawa..kunya anakunyaga kuku tuu ila kwa bata eti kaharisha..99 percent ya wanaume ndoani wanacheat sasa kwani si ni sawa na anavocheat bibi harusi wako mtarajiwa? afu nashangaaga sana wanaume ndo wanaoumiaga zaidi wakisalitiwa ndomana kusamehe wakikufumania ni ngumu sana..sasa kama mnajua inauma sana kumegewa kwanini nanyinyi mnapenda sana kutumbukia kila shimo? mnavoumia nasisi tunaumia da same.
Na ndo mjue kutulia mnavochagua wake zenu. Vinginevyo mtato...mb..ewa sanaaaaaa[emoji23] na vigezo vyenu vya insta ivyo kazi mnayo.
Naunga mkono hoja, pengine hii inatokana na perceptions ambayo imejengeka katika jamii kwamba love lazima iyambatane na sex (no sex, no love) kumbe kunaweza kuwa na sex without love or love without sex, ingawa inaweza kuwa love with sex (exception).Kuna mwanasaikolojia mmoja anasema hakuna uhusiano between SEX and LOVE.
Sisi ndo tunakosea sana katika kufikiri kwetu.
vipi ww ndo umepigwa cha mwisho au ww ndo umepiga cha mwishoo ? ila kama ulivyosema Allah anasamehe zoteMwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..."
ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu wako...kwanini ulikubali kuolewa na mtu mwingine...
YAANI UNAENDA KUMGEA MTU WAKO UMPENDAYE KWA MARA YA MWISHO MWISHO...anakuchakaza ile chakachaka...YAANI KIPIGO CHA MBWA MWIZI...yaani hasira zote anazimalizia hapo...
Kumbe ndio wanauanzisha mwanzo mpya wa kupasha kiporo chao watakapoingia ndoani na mme wake...
Najua wapo waliowahi kuambiana na mademu zao kuwa tufanye ya mwisho kabla ya harusi...alafu kwenye harusi naye ni mgeni mwalikwa maalum kwa bibi harusi...wakati jana kabla ya leo AMEKUNG'UTWA MKONG'OTO USIO WA KAWAIDA...
Hii dhambi mbaya sanaaa...lakini hakuna dhambi isiyosameheka mbele ya Allah...cha msingi TOBA tu kabla ya kufa...
TUMUOGOPE ALLAH BASI...KAMA HUMHESHIMU MUMEO...
Criminal minds na innocent man(innocent defendant)Bila shaka ni Good Doctor na Innocent man
Mbaya sana...Hahaaa na mtu anaetembea na mkeo akikuona wewe anadindisha
Wanawake wa aina yako ni wachafu sana...mawazo hayo yanasadifu na wewe ni mchepukaji mkubwa mno...so unatetea uchepukaji wako...Sasa apo kwani shida nnn? dhambi zote ni sawa..kunya anakunyaga kuku tuu ila kwa bata eti kaharisha..99 percent ya wanaume ndoani wanacheat sasa kwani si ni sawa na anavocheat bibi harusi wako mtarajiwa? afu nashangaaga sana wanaume ndo wanaoumiaga zaidi wakisalitiwa ndomana kusamehe wakikufumania ni ngumu sana..sasa kama mnajua inauma sana kumegewa kwanini nanyinyi mnapenda sana kutumbukia kila shimo? mnavoumia nasisi tunaumia da same.
Na ndo mjue kutulia mnavochagua wake zenu. Vinginevyo mtato...mb..ewa sanaaaaaa[emoji23] na vigezo vyenu vya insta ivyo kazi mnayo.
Daah nimecheka sana mkuuHahaaa na mtu anaetembea na mkeo akikuona wewe anadindisha
Mpuuzi wewe...vipi ww ndo umepigwa cha mwisho au ww ndo umepiga cha mwishoo ? ila kama ulivyosema Allah anasamehe zote