"Naomba tufanye ya mwisho mwisho basi"

Hiyo hapo ni criminal minds
Nyingine ni Innocent man, My fair lady , Good Doctor, mackerel run na nyinginezo
Mbili hapo nimeziona...shukran bint mwema...Allah akuhifadhi...
 
Kabisaaaaa...
 
Hahaaa na mtu anaetembea na mkeo akikuona wewe anadindisha
 
Sasa apo kwani shida nnn? dhambi zote ni sawa..kunya anakunyaga kuku tuu ila kwa bata eti kaharisha..99 percent ya wanaume ndoani wanacheat sasa kwani si ni sawa na anavocheat bibi harusi wako mtarajiwa? afu nashangaaga sana wanaume ndo wanaoumiaga zaidi wakisalitiwa ndomana kusamehe wakikufumania ni ngumu sana..sasa kama mnajua inauma sana kumegewa kwanini nanyinyi mnapenda sana kutumbukia kila shimo? mnavoumia nasisi tunaumia da same.

Na ndo mjue kutulia mnavochagua wake zenu. Vinginevyo mtato...mb..ewa sanaaaaaa😂 na vigezo vyenu vya insta ivyo kazi mnayo.
 

Aiseee !!!
 
Kuna mwanasaikolojia mmoja anasema hakuna uhusiano between SEX and LOVE.

Sisi ndo tunakosea sana katika kufikiri kwetu.
Naunga mkono hoja, pengine hii inatokana na perceptions ambayo imejengeka katika jamii kwamba love lazima iyambatane na sex (no sex, no love) kumbe kunaweza kuwa na sex without love or love without sex, ingawa inaweza kuwa love with sex (exception).
 
vipi ww ndo umepigwa cha mwisho au ww ndo umepiga cha mwishoo ? ila kama ulivyosema Allah anasamehe zote
 
Mkuu jinsi ulivyochanganya baadhi ya maneno umeandika kwa herufi kubwa mengine madogo umenikumbusha jamaa wa tala wanavyodai hela yao wanaandika ivyo ivyo.
 
Wanawake wa aina yako ni wachafu sana...mawazo hayo yanasadifu na wewe ni mchepukaji mkubwa mno...so unatetea uchepukaji wako...

WIVU KWA MWANAUME NI ASILI...MWANAMKE NI KISIRANI TU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…