Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Habari ndugu zanguni,
Tafadhari nawaomba sana tufunge na kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu sote kwa namna yoyote ile pasipo kutaja majina yao bayana kila mmoja awaandike kwenye karatasi au hata kuwatamka Kwa kinywa tuwaombee Mungu wa kweli asimamie mioyo yao ya kweli na ya haki wasivunjike moyo.
Mtu awaye yeyote na aombe kwa Mungu wetu nyakati za sasa si njema sana.
Natanguliza shukrani.
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏