Unaona eee, shida zipo lakini hatuachani, Joyce si sababu tuna msikiliza tunachukua mchele pumba tunamwachia lakini hatuachi kumsikilizaPOSTS KARIBU ZOTE HUMU ZA WANAWAKE ZINAONESHA NI JINSI GANI WANAWAKE MNAPATA SHIDA KWENYE MAHUSIANO.
LAKINI PAMOJA NA SHIDA ZOTE ZA KIMAHUSIANO NI KWA NINI HAMUACHI HAYO MAHUSIANO??!!
WENGI MNA MATUMAINI YA KUWA KWENYE NDOA ISIYOKUWA NA MIFARAKANO,NI VIZURI LAKINI NI NADRA SANA AU HAKUNA KABISA.
KUSUBIRI ILI KUPATA MWENZA WAKO UNAYEMTAKA UNAWEZA JIKUTA UNAZEEKA HIVI HIVI.
NA HALI HII TUNAPOELEKEA NDO MBAYA ZAIDI.KWANI HATA VITABU VYA DINI VIMETABIRI HIVYO.
USHAURI WANGU:
TUVUMILIANE KATIKA NDOA,KUNAPOKUWA NA CHANGAMOTO BASI TUTUMIE NJIA NZURI ZA KUTATUA CHANGAMOTO HIZO.
Unajua NI Watoto wangapi wapo mitaani baada ya ndoa za wazazi wao kuvunjika. Wanawake na waume wengi hupitia manyanyaso kwenye ndoa zao Ila wengi hukabiliana nayo kwaajili ya maisha ya wanae. Chunguza vyanzo vya vipigo.Thank you, harusi isiyokuhusu suti ya nini, Kuna anaowasaidia
Siungi mkono kutoa kibano. Ila hili suala linahitaji kuangaliwa kwa upana wake maana linahusisha na mambo ya kimila vile vile.
Tatizo Ni kwamba Sasa hiv mnaua, zaman wenye hizo mila labda walipiga kidogo tu labda, afu hizo ndoa za unyanyasaji na mke kupigwa unazoogopa zitavunjika Ni ngumu Sana na Zina madhara makubwa sanaa.Siungi mkono kutoa kibano. Ila hili suala linahitaji kuangaliwa kwa upana wake maana linahusisha na mambo ya kimila vile vile.
Kuna mila wanawake wenyewe wanapenda kibano. Ndoa nyingi za vijijini ambazo wahusika hivi sasa ni vikongwe wenye vitukuu na vilembwe zimeishi kwa mazingira haya haya ya kibano cha hapa na pale. Wangeachana ingekuwaje?
Unless hii changamoto ya kubadili hii tabia inaangaliwa kwa upana wake, hizi jitihada za huyu dada zinaweza zisiwe na tija. Zitasababisha ndoa nyingi kuvunjika bila kubadilisha tabia ya wanaume kutoa kibano.
Ma single mama anaowazungumzia na kupromote yeye ni wale wa mazingira ya mijini, kinondoni huko, nk. Kuwa single mama kijijini kiuchumi na social pressure ni ngumu sana. Ardhi inamilikiwa na mume, ukirudi kwa wazazi unatimuliwa!!. Ni changamoto.
Dawa ni yeyote anayefanya hayo mambo kuachaaa either mume au mke, mama akivumilia akauawa ni nafuu??? Watoto wataishi kwa Raha akifa na baba akaenda kuoa???Unajua NI Watoto wangapi wapo mitaani baada ya ndoa za wazazi wao kuvunjika. Wanawake na waume wengi hupitia manyanyaso kwenye ndoa zao Ila wengi hukabiliana nayo kwaajili ya maisha ya wanae. Chunguza vyanzo vya vipigo.
Nina ndoa nzuri sanaaa ya mume anayejielewa ambaye hawez kumpiga mke hata siku moja.We mamaterry hujaolewa na huna mume. Unachotaka kila ndoa ife. Kila baraka Mungu huitoa kwa Watoto kupitia familia. Nje ya hapo NI laanaa tu na Mambo ya mwanaharamu.
Huyo Joyce sio mzima.
Fanyeni tafiti vyanzo vya manyanyaso kwenye ndoa. Kama NI Mila au Nini. Toa elimu kwa wanaume na wanawake.
Lazma ndoa ziheshimiwe Kama nyie mnapenda kuishi bila waume mbaki hivyohivyo msiwadanganye wengine. Na manyanyaso sio kipigo tu. Kuna gubu, matusi na udhalilkshaji mkubwa. Fanyeni vitu mkiongozwa kwa research na sio story kutoka kwa wadada wanaojiza kila
Kwani sie tunaovumilia midomo yenu michafu ni vichaa ama? Ndoa ni uvumilivu...ndoa si lelemama! Kwa mtu ambaye anajua kwake subira ni mtihani basi asitake matatizo kabisa akae mita 200 nje ya taasisi ya ndoa.Kwa hiyo unataka awaambie wavumilie manyanyaso ili kifo kiwakute wakiwa ndani ya ndoa?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kiria ni mpuuzi, kilichofanya aachwe ni ujinga wa kujifanya superwoman na kutaka kumfanya mr.kilewo kama msukule wake to satisfy her fantasies! A real man hawezi kuburuzwa kizembe.We jomba nimekuelewa Sana..na kwa kweli Sasa amepotea njia..nadhani ameachika na ndoa yake lakini asidhani kila ndoa itakuwa Kama yake..lakini umempa mifano asilimia 40 ya wanaume wananyanyasika na ndoa zao..lakini wapo kimya wanatafuta njia mbadala was kutafuta ufumbuzi lakini bila kutaka kuvunja ndoa..superb..nimeipenda hii.
Kwa hiyo huyo mama asivutuge Mama zetu dada zetu na watoto wetu..akome kuwashawishi wanawake waone Kama vile ndoa Ni jehanamu..nooooo...ipo kwenye vitabu vya Mungu vyote na Ni amri ya Mungu..asilete ushetani katika familia zetu
Tatizo lake yuko biased! Kwani wanaume pia hawanyanyasiki au sababu tumekaa kimya?Sijawahi kuona joyce kiria akishawishi watu waache ndoa zao .. huwa analeta matukio yalitokea yanayotokea kwenye ndoa ambayo mengine yamesababisha maafaa kama vifo na ulemavu na asilimia kubwa ya matukio hayo yamesababishwa na wanandoa hasa wanawake kuvumilia kwa muda mrefu manyanyaso na vipigo .
Ni Tanzania pekee ambako mwanamke anaweza akaachana na mume ili akatembee na mume wa mtu mwengine.😂😂😂Mnaohangaika na wanawake wanaharakati mna shida
Kama wanawake wanaona suluhu ni kuachana wacha wazivunje ndoa ila asili inaonyesha ndoa sio tatizo kwa mwanaume
Mwanaume anaweza kupata mwenzi hata akiwa na 70%yrs ila uwanda wa kujiachia wa mwanamke ni finyu sana
Unaendekeza kuachana wakati nafasi/muda wa kuwa sokoni ni mdogo hicho ni kichaa
Mume kwenda kwa mchepuko ni dalili kwamba wewe kama mke hutoshi katika nafasi yako iwe kwa makusudi au bahati mbaya.
Huyo Kiria ningemuona ana akili kama angeanza kuhubiri kwanza what makes a good wife at home.Mwanaume mmoja aanzishe Movement ya kuelekeza wanaume kuwa kumpiga mke Hadi kuua sio sawa na madhara ni makubwa sanaaa. Na mtoto anayeishi kwenye familia yenye mama anapigwa atakua mbaya Sana kuliko anayeishi na mama tu.
Jaman Kama ilivyo mume ni kichwa Cha familia ndo hivyo amani na furaha katika familia inakutegemea Sana. Ukipata tu hofu ya Mungu ukaacha ubinafsi familia na taifa kwa ujumla zitakua sehemu salama.
Please wanaume Mungu aliwaamin Sana msimuangushe please simama kwenye nafasi yako na kataa unyanyasaji woteeee
Shikamoo Mama Terry!Nina ndoa nzuri sanaaa ya mume anayejielewa ambaye hawez kumpiga mke hata siku moja.
Mwanaume mzima na uwezo wa kuzalisha unao unaona sifa kumpiga mkeo???
Kwanini hampambani kuacha kuwapiga wake zetu na kuelimishana nyie wanaume mnajidai ohh Mungu aliumba familia.
Kama mnamuheshimu Mungu basi tii agizo lake kuhusu ndoa uone dunia itakavyokua nzuri. Sio kujustify unyanyasaji for the sake of ndoa.
Please anzisha movement ya kuelimisha wanaume wenzio wenye hiyo tabia waache Mara Moja.
Mchepuko na vipigo havina uhusiano wowoteMume kwenda kwa mchepuko ni dalili kwamba wewe kama mke hutoshi katika nafasi yako iwe kwa makusudi au bahati mbaya.
Kama mke unasimama katika nafasi yako vizuri mume hata kama atachepuka anakuwa na nidhamu bado!
Basi wewe fanya hii na yeye afanye anayofanya mambo yatakua fresh sanaaaHu
Huyo Kiria ningemuona ana akili kama angeanza kuhubiri kwanza what makes a good wife at home.
Je, wanawake mnazingatia misingi ya kuhakikisha amani inakuwepo ndani ya nyumba? Kama mnazingatia yote je, kuna uhalali gani wa kupigwa sasa...from there on kataeni vipigo.
Ila sio direct mtu anashupaza shingo kuwa mwanamke hutakiwi kupigwa, ukiguswa ondoka acha ndoa. Kama umeishi ndoani na mumeo for 30-40 years hajawahi kukutia hata kibao basi utakuwa ni mwenye adabu ya hali ya juu na really a wife material.
Wanawake wa sikuhizi ni good speakers ila sio good communicators. Nafikiri mngeanzia hapa kabla ya kufungana motor za kukimbia ndoa.
MarahabaaaShikamoo Mama Terry!
Nyie huwa mnatosha kwenye kila kitu?? Hamna mke atakaa atoshe kwenye Kila anachotaka mwanadamu mwenzie, ndo maana ndo ni muungano wa 2 imperfection people, waliopo tayari kuvumiliana mapungufu yao.Mume kwenda kwa mchepuko ni dalili kwamba wewe kama mke hutoshi katika nafasi yako iwe kwa makusudi au bahati mbaya.
Kama mke unasimama katika nafasi yako vizuri mume hata kama atachepuka anakuwa na nidhamu bado!