Tatizo Ni kwamba Sasa hiv mnaua, zaman wenye hizo mila labda walipiga kidogo tu labda, afu hizo ndoa za unyanyasaji na mke kupigwa unazoogopa zitavunjika Ni ngumu Sana na Zina madhara makubwa sanaa.
Mbona mkua wake zenu tena Hadi kumchoma kwa mkaa humuwazi hao watoto kuishi bila mama???
Kweli mwanaume mzima unakua mbinafsi, unanyanyasa mke kisa Hana uwezo afu eti akiondoka unaona watoto watapata shida? Mbona adhabu ni nyingi mnoo jaman ? Tatizo kipigo madhara ya kufa ni nje nje so Bora aondoke tu akalee watoto wake mwenyewe kuliko watoto kushughudia unyanyasaji huo mkubwa hivyo.
Na wamama wazaman walinyamazia hayo mambo kea ajili ya umaskin mwishowe wametengeneza kizazi kibaya mnoooo ambacho hakipifi tena kinaua kabisaa