Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Ukitengeneza mazingira ya kipondo utapewa tu. Mtu anayechukia kupigwa hawezi kutengeneza mazingira ya kupigwa.Baba mimi nitavumilia njaa, dhiki, ugonjwa na mengine ila sio kipondo aisee mambo ya kutiana ulemavu kwa makususi nimekataa kabisa bora tu nikae mbali kama ulivyosema
Kuna wanawake huoni sababu hata ya kumfokea tu achilia mbali kumpiga maana anakuwa so submissive kiasi unazidi kumpenda tu like fine wine. Moyo unakuwa so easy kumsamehe anapokukwaza kiasi kwamba kuna vitu vidogo dogo unavi overlook tu. Hawa watu wanakuwa wamejengeka ki hekima sana.
Sio unakutana na mtu domo chafu kama choo cha stendi...kitu kidogo kashafyetuka puuuh mitusi kama yote. Mie ni mvumilivu ila sio kwa mtu asie na nidhamu. Ntamfumua tu mwisho wa siku hasa kama haambiliki.