The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nunua bunduki... wakija wafyatulie kwenye mapumbu ukimsambaratisha hata mmoja hao ngedere hawaji tena kukufuatilia niamini mimi ni waoga balaaNakaribisha yeyote mwenye maoni, mbinu, nia, na ujasiri wa kukabiliana na wahalifu hawa.
🔨🔨🔨🔨Usokijua, mbeba bunduki ana hofu kuliko asiye na silaha.
Matapeli hao achana nao hakuna wagangaMkuu Kuna mzee Yuko Pemba nilitaka tuji organise kama taifa tuchange pesa tumpatie alafu tusubiri mlio, Yani linatafutwa jini kwa kazi MOJA TU ya kuwadaka watekaji wote na kuwateketeza
View attachment 3518470
Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao.
Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali watendaji wa yeyote au wowote wanaonufaika na utekaji.
Kama watu wenye akili na busara, naomba tupeana mbinu za kuwazidi kete na kuwateka watekaji lau waonje chungu ya dawa yao.
Maana, ni bora kufa umesimama ukipambana kuliko kufa umepiga magoti ukiomba. Sisi si kuku tutekwe kila siku na kubaki kutazama tu kana kwamba haituhusu. Japo tunaambiwa watekaji hawajaulikani, wanajulikana. Ni watekaji. Wanatumiwa. Wanalindwa. Na baya kuliko yote, yanavumiliwa na mamlaka zinazopaswa kutulinda na mali zetu.
Nakaribisha yeyote mwenye maoni, mbinu, nia, na ujasiri wa kukabiliana na wahalifu hawa.
Hawa watekaji watuzoea , mbinu nyepesi sana ni moja tu.View attachment 3518470