GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na wengine nao wakajichangachanga na kunipa tena GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 1,800 za Kitanzania?
Nasubiria majibu yenu tafadhali kwani kuna Watoto nilienda Kuwatembelea Kijijini juzi wakanipa aina hii ya Zawadi.
Nasubiria majibu yenu tafadhali kwani kuna Watoto nilienda Kuwatembelea Kijijini juzi wakanipa aina hii ya Zawadi.