kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Pengine unasema kweliAkina Stefano waliuawa na ikaisha. Sijasema Mwanamalundi ndiye Yesu wetu ila nimesema fate yake ilikuwa bora pia kama ya Yesu. Alihubiri upendo na wema pia ndo maana alipendwa. Yeye alifanya mengi maisha yake yote
Sijui mkuuKwa heshima mkuu unaeza tupa madini kuhusu huyo mtu wengine tumemskia juu juu tuh
Naanza kuandika and then tutaendelea kujazia nyama kwa hekima zetu za kiafrika :-
Hapo mwanzo nchi na dunia ilijaa ukiwa na upweke, RUWA, akaona haipaswi kuwa hivi, wakati huo dunia ilikuwa na viumbe aina mbali mbali vilivyokuwa vya ajabu ajabu vinavyotembea wima, na vinavyotembea kwa mfumo wa viungo vinne, waliokuwa wanatembea wima wengi walikuwa ni viumbe weusi, walikuwa wamejaa eneo kubwa la tufe la mapori na kiza kinene, RUWA, alihuzunika sana kwa hali ile,..........