Naomba tuungane kuanzisha Vitabu vya Dini ya Waafrika

Naomba tuungane kuanzisha Vitabu vya Dini ya Waafrika

Akina Stefano waliuawa na ikaisha. Sijasema Mwanamalundi ndiye Yesu wetu ila nimesema fate yake ilikuwa bora pia kama ya Yesu. Alihubiri upendo na wema pia ndo maana alipendwa. Yeye alifanya mengi maisha yake yote
Pengine unasema kweli

Lkini imeandikwa wapi?
 
Kwa heshima mkuu unaeza tupa madini kuhusu huyo mtu wengine tumemskia juu juu tuh
Sijui mkuu

Hoja yangu ni kuwa huu mradi wa kuandika kitabu ni non starter maana hao watu hawakuandika kitu kwahiyo hakuna madai ya maana watu wataibua juu yao
 
Me naunga mkono ila itabidi iwe slow process tusije tukasahau vitu kwenye kitabu. Tutachukua watu maarufu kama kina ngwanamalundi, mugo wa kibiru,etc ili kuonesha namna waafrika tulikuwa na manabii wetu wenyewe
 
Naanza kuandika and then tutaendelea kujazia nyama kwa hekima zetu za kiafrika :-
Hapo mwanzo nchi na dunia ilijaa ukiwa na upweke, RUWA, akaona haipaswi kuwa hivi, wakati huo dunia ilikuwa na viumbe aina mbali mbali vilivyokuwa vya ajabu ajabu vinavyotembea wima, na vinavyotembea kwa mfumo wa viungo vinne, waliokuwa wanatembea wima wengi walikuwa ni viumbe weusi, walikuwa wamejaa eneo kubwa la tufe la mapori na kiza kinene, RUWA, alihuzunika sana kwa hali ile,..........

Endelea
 
Back
Top Bottom