Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Unavyoongea mtu anaweza dhani upo serious 🤣Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyoongea mtu anaweza dhani upo serious 🤣Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu
Ni wazo zuri sana, ni counter attack nzuri ya Uhayawani wa hizi Imani za wageni.Habarini,
Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk.
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.
Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu ingawa naona kabisa madhebu yetu yanaweza kuegemea koo au makabila yenye mila na desturi zilizosawa na vitabu vyetu pia vinaweza kuwa hivyohivyo i.e. kitabu cha Wasukuma, kitabu cha Wachanga, n.k
Naomba kuwasilisha.
🤔🤔🤔Nikiwa njiani nikatupia macho kwenya banda moja la kubeti, asee kuna vijana wamejaa humo! Nguvu kazi mijini kubwa hupotea kwa kupoteza muda kwenye mambo ya kubeti, hawa wakitoka humo wakawa panya road msishangae.
Kwangu mimi ongezeko la panya road linaenda sambamba na kukua hizi ofisi za kubeti, sasa mashine za kamali zinaenea mpaka vijijini. Jamii isishangae kupata panya road mpaka vijijini siku za usoni.
Ni kitu hujui tu na umetawaliwa na kutojiamini kwa kupenda vya kizungu/wageni.Kama ni dini inayohimiza kurudia kuvaa ngozi za wanyama, mie hapana nitaiga huku kuvaa ngua za pamba mtindo ulioletwa na wageni. Kuiga mambo mazuri sio dhambi.
Una bifu na kasumba; neno wazingu umelitoa wapi? Sijatamka kuhusu uzungu.Ni kitu hujui tu na umetawaliwa na kutojiamini kwa kupenda vya kizungu/wageni.
Afrika tungefikia kutengeneza nguo za pamba tu kwani huko Asia walikotengeneza nguo za pamba, halili na magome ya mti wazungu ndiyo waliwafundisha?
Tuache kujitoa ufahamu,je WaafrikacSEX tulifundishwa na wazungu si tulijua tu baada ya Mungu kutuumba tukiwa na hisia za mapenzi .
Siyo wazungu ndiyo wameumbwa kugundua kila kitu na kwamba wasingekuja tusinge gundua viwanda ilikuwa ni swala la muda tu
Aloyekuja na kukutawala kifikira,kiakili,kiuchumi,kisiasakiimani,nk kwa asikimia 99% na unayeamini yuko sahihi zaidi kati ya hao wageni wako i.e. wazungu na warabu ni yupi?Una bifu na kasumba; neno wazingu umelitoa wapi? Sijatamka kuhusu uzungu.
Asiejiamini ni wewe, nimeandika wageni, sijaandika wazungu, hao sijui umewatoa wapi. Ndio utajua hujiamini, ukijikwaa utasema mzungu kakutega.
Maendeleo ni pamoja na kuchukua vilivyo vizuri na kuacha visivyofaa. Kuchukua au Kuiga kuvaa nguo za pamba badala ya ngozi kwangu ni maendeleo hasa kwa Afrika yetu yenye joto. Sasa hapa nazungumzia nguo kamili zinazositili mwiki sio vipande. Nitachukua kinachonifaa nasonga mbele. Hivyo! Usitake kujua wapi jua kigeni kwangu nabeba mradi kinanifaa.Aloyekuja na kukutawala kifikira,kiakili,kiuchumi,kisiasakiimani,nk kwa asikimia 99% na unayeamini yuko sahihi zaidi kati ya hao wageni wako i.e. wazungu na warabu ni yupi?
Kati ya wazungu na waarabu ni wapi unakopi na kupest zaidi?
Tafakari na jitambue!!
Si kweli,magharibi hawakuwa na fikra elimu yoyote mpaka walipoenda kupigana Vita vya msalaba 1100AD,walipofika huko wakabaki wanabung'aa kwa uzuri wa majengo,watu wa huko wakitengeza sukari na vinginevyo,dawa wakati wao wa magharibi waliojua kusoma na kuandika ilikua watu wa diniMifumo yote ya fikra za uchumi na maendeleo ni copy na paste toka Magharibi, kipi urabuni kigeni.
Mzungu wa kwanza anafika tabora anakuta wanyamwezi wanatengeneza nguo babu!!Maendeleo ni pamoja na kuchukua vilivyo vizuri na kuacha visivyofaa. Kuchukua au Kuiga kuvaa nguo za pamba badala ya ngozi kwangu ni maendeleo hasa kwa Afrika yetu yenye joto. Sasa hapa nazungumzia nguo kamili zinazositili mwiki sio vipande. Nitachukua kinachonifaa nasonga mbele. Hivyo! Usitake kujua wapi jua kigeni kwangu nabeba mradi kinanifaa.
Unajua hata kutumia umeme tumeiga, sasa huwezi sema tuludie Uafrika wetu wa kutumia vibatari no.
Kwanini hukuchukua vizuri kwa warabu kama ni joto je waarabu kwao hawana nguo za joto?Maendeleo ni pamoja na kuchukua vilivyo vizuri na kuacha visivyofaa. Kuchukua au Kuiga kuvaa nguo za pamba badala ya ngozi kwangu ni maendeleo hasa kwa Afrika yetu yenye joto. Sasa hapa nazungumzia nguo kamili zinazositili mwiki sio vipande. Nitachukua kinachonifaa nasonga mbele. Hivyo! Usitake kujua wapi jua kigeni kwangu nabeba mradi kinanifaa.
Unajua hata kutumia umeme tumeiga, sasa huwezi sema tuludie Uafrika wetu wa kutumia vibatari no.
Tulikuwa na hatua zetu za maendeleo na Mungu alitubariki kama walivyo wazungu hivyo tungefikia maendeleo kama ya wazungu tu kwa wakati wake hata kama tungechelewaMzungu wa kwanza anafika tabora anakuta wanyamwezi wanatengeneza nguo babu!!
Nahisi nabishana na chizi, nimesema wageni sikulenga wazungu tu,!Kwanini hukuchukua vizuri kwa warabu kama ni joto je waarabu kwao hawana nguo za joto?
Kikubwa ni ujinga uliolishwa darasani kutoka kwa wazungu na kuamini vyote alivyokufundisha na kukuachia mzungu i.e. kiingereza na mavazi bora kuliko vyako hata vya warabu
Nabii huwa hakubaliki nyumbani jambo gani la Kiafrika labda akili yako italitambua ni jema kwa kipindi chote cha maisha yakoWaafrika bana, kazi mambo ya ovyo tu. Mleta mada ni mooja wa utibitsho wa uovyo wa waafrika.
Hakuna anaebishana humu kama upo kubishana tafuta dera nenda vikobaNahisi nabishana na chizi, nimesema wageni sikulenga wazungu tu,!
Kuwepo na kitabu cha Mtume Mwanamalundi. Asisahaulike Nshinshi wa Bondeni ChunyaHabarini,