Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Hayo matusi mkuu😂Skiliza wewe
Huyu mungu anaitwa nsana gwa nyoko mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo matusi mkuu😂Skiliza wewe
Huyu mungu anaitwa nsana gwa nyoko mkuu
Ni kweli ndiyo maana nawashushia furushi la lawama wazee wetuNa wewe kwanini ukakubali kupelekwa utumwani?? Kwanini usipambane?? Huoni kupelekwa utumwani ilikuwa ni ujinga na uoga na uzembe wako mwenyewe!!-- inakuaje mtu atoke atokake aje nyumbani kwako na anakukamata kama swala na anaondoka na wewe kiulaini !!, isitoshe utumwa ilikuwa ni biashara iliyochukua muda mrefu je mlishindwaje kushirikiana nyinyi wenyewe na kuitokomeza??, waafrika tulikuwa hovyo na hadi leo tunanyanyaswa na kubaguliwa na kuporwa maliasili zetu ni muendelezo wa ujinga uleule tuliorithi kutoka kwa mababu zetu hivyo huna haja ya kumlaumu Mungu bure juu ya ujinga wako.
Aaah kama uko familiar with Muhammad’s teachings utagundua Mungu wake sio sawa na wa machifuMUNGU ni mmoja duniani,hakuna Mungu wa Wafrika au Waarabu,Wazungu,rtc.
Huyohuyo anaitwa majina tofauti tu Mungu,Mlungu,Nyasae,Imana,n.k tunachoongelea hapa ni jinsi ya kumuabudu ambapo Wazunguzu wanataka tumuabudu kupitia yesu na waarabu tupitie mohamad wakati hao ni waasisi wa dini au imani zao.
Sisi pia tulikuwa na waasisi wetu kama Mwanamarundi,Kisukarumbele,Mirambo,nk ambao walimuamini Mungu huyohuyo na walikuwa na miujiza zaidi ya mohamed na yesu na walikuwa WAAFRIKA siyo wazungu wala waraabu.
MUNGU ni mmoja aliyeumba viumbe vyote vilivyohai na visivyohai ulimwenguni kote
😂😂😂😂🏃🏃🏃🙏🙏Skiliza wewe
Huyu mungu anaitwa nsana gwa nyoko mkuu
Wewe ni binadamu ni mnyama uko kundi moja na mbwa,paka,ngombe,fisi,nyani,n.k. na aliyekufundisha hivyo ni mzungu ukaamini ,je umewahi kujiuliza Mungu wa hao wanyama wenzio ni nani?je ndiyo huyohuyo wa wazungu?Aaah kama uko familiar with Muhammad’s teachings utagundua Mungu wake sio sawa na wa machifu
Aisee kijana chuki yako kwa wazungu inakutia upofuWewe ni binadamu ni mnyama uko kundi moja na mbwa,paka,ngombe,fisi,nyani,n.k. na aliyekufundisha hivyo ni mzungu ukaamini ,je umewahi kujiuliza Mungu wa hao wanyama wenzio ni nani?je ndiyo huyohuyo wa wazungu?
Walishajaribu sana na matokeo yake ndio hao Mungiki Kenya na wengine wengi sana Nigeria soma mtandaoni utaona. Imani huvuviwa na Mungu na sio kuanzishwa kwa akili ya kibinadamu tu.Habarini,
Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk.
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.
Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu ingawa naona kabisa madhebu yetu yanaweza kuegemea koo au makabila yenye mila na desturi zilizosawa na vitabu vyetu pia vinaweza kuwa hivyohivyo i.e. kitabu cha Wasukuma, kitabu cha Wachanga, n.k
Naomba kuwasilisha.
Hapo sawa mkuu nimekuelewaTafsiri yangu ni kama unavyotafsiri wewe,ila kitabu hicho kisaidie kama ambavyo mawazo ya kwenye vitabu vya nchi ulizotaja yanavyowasaidia
Nadhani huyo anawapenda waarabu mkuuAisee kijana chuki yako kwa wazungu inakutia upofu
Ila usijisahaulishe hiyo simu unayotumia kupost ni hao hao wazungu waliumiza kichwa kuiunda
Mungu yupi anavuvia sasa mkuu???Maana mungu wapo wengi kutegemeana na imani husikaWalishajaribu sana na matokeo yake ndio hao Mungiki Kenya na wengine wengi sana Nigeria soma mtandaoni utaona. Imani huvuviwa na Mungu na sio kuanzishwa kwa akili ya kibinadamu tu.
Cha waarabu kimeandikwa kiarabu na dini yake wafuasi wake wanaswali kwa lugha ya kiarabu.Na wazungu kitabu chao wameandika kilatini na dini yake wafuasi wake wanasali kwa lugha ya kilatinikitabu cha waarabu na cha wazungu nitavijuaje?
Ni WAPUMBAVU tu! Wimbi la vijana Jobless limekuwa kubwa sana humu.Hii mada ni nzuri na muhimu sana ila watu wanaleta utani na mizaha isiyo maana,wamemezwa na imani za kuletewa hawajui kwamba dini ndio muongozo wa kila kitu maishani
Kama ni dini inayohimiza kurudia kuvaa ngozi za wanyama, mie hapana nitaiga huku kuvaa ngua za pamba mtindo ulioletwa na wageni. Kuiga mambo mazuri sio dhambi.Wazo zuri. Dini ya Kiafrika ipo lakini ni oral kinachotakiwa ni iwekwe katika Written.
Nikiwa njiani nikatupia macho kwenya banda moja la kubeti, asee kuna vijana wamejaa humo! Nguvu kazi mijini kubwa hupotea kwa kupoteza muda kwenye mambo ya kubeti, hawa wakitoka humo wakawa panya road msishangae.Ni WAPUMBAVU tu! Wimbi la vijana Jobless limekuwa kubwa sana humu.
Wengine wako chuo wanakuja kutuletea UJINGA UJINGA WAO HUMU!
Tanzania ina wajinga wengi sanaHabarini,
Baada ya kupitia mijadala mingi humu JF na mitandao mbalimbali nimeona sasa kunaumuhimu wa kuungana sisi wenyewe Waafrika na kuanzisha dini/kanisa la Imani ya Waafrika/Washindi wa Afrika/Africa Catholic nk.
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.
Naomba mapendekezo yenu wote wenye nia njema na Afrika kwa kuanza na jina lipi litumike kuiwakilisha dini/imani yetu ingawa naona kabisa madhebu yetu yanaweza kuegemea koo au makabila yenye mila na desturi zilizosawa na vitabu vyetu pia vinaweza kuwa hivyohivyo i.e. kitabu cha Wasukuma, kitabu cha Wachanga, n.k
Naomba kuwasilisha.