Naomba tuungane kuanzisha Vitabu vya Dini ya Waafrika

Mfumo wa nature chenye nguvu umeza kinyonge.
Kama miungu ya kiafrica ilishindwa kumlinda mwafrika asichukuliwe utumwani plus kutawaliwa je kwa sisi kizazi cha SAsa tuna haja ipi kuabudu miungu dhaifu iliyoshindwa.
Ndiyo hapo mkuu najiuliza kila siku

Hiyo miungu ilikuwepo wapi wakati wale washenzi wanakuja kutupeleka utumwani
 
Haswa.
 
Huenda walituzidi hakili kwa kujiaminisha Sana kwa miungu yetu kwamba wao niwa tiifu kuliko sisi kupitia mabarozi wake ambao niwaganga na machifu lakini baada ya kuaminika na miungu wakaamua kutudhuru
 
Kwahiyo Miungu yetu haikujua kama walileta janja janja?
 
Unaanzaje kuanzisha dini tu km tumeshindwa hata kuandaa katiba yetu kila kitu tumerithi

Maji yapo bure kuna maziwa,mito,bahari ila tumeshindwa kusambaza kila mahali

Udongo upo wa kutosha ila cha ajabu tumeshindwa kuchonga tofali tukajenga madarasa maeneo yote mpaka tupewe fungu na beberu

Ardhi ipo tupu kila sehemu mapoli ila migogoro ya ardhi haiishi

Hatujawahi pigana vita vyovyote vya kidunia ila waliopigana ndio wanatupa misaada

Bara halikumbwi na majanga km tsunami,tetemeko ila hatuna maendeleo km wenzetu
 
Kabla ya ujio wa hizi dini waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu kupitia kuabudu vitu wasivyovijua in deep yaani nature kupitia matambiko kwa kuabudu milima, misitu, nk.
Sababu ya kuwa gizani wakimtafuta Mungu, shetani akatumia fursa hio akawamiliki kiimani akajifunua kwao kupitia mizimu , wao waliamini wanamuabudu Mungu. Kwa sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu, mwanadamu baada ya kutenda dhambi akatupwa duniani ambapo tayari shetani alikuwa ashatupwa duniani toka mbinguni,hali mwanadamu alitupwa toka bustani ya Eden.
Mwanadamu na shetani wote wapo duniani kwa mda mfupi sababu Dunia si makazi y kudumu kwa shetani na mwanadamu.Makazi ya kudumu ni paradiso na jehanamu.
Dunia si milele, ni temporary place, thus tunakufa mda ukifika.
 
IInawezekana mkuu maamzi tu
Mkuu
KAMWE, narudia KAMWE haitatokea anytime soon

Jamani dini sio jambo dogo hasa hasa kuianzisha

Mnavyowaona akina mwamposa wanatreza sababu kuna mtu alitundikwa msalabani, watu waliuwawa, watu walitengwa na jamii zao

Kwahiyo hizi sio story za kijiweni

Msipoteze muda na hili
 
Kwahiyo Miungu yetu haikujua kama walileta janja janja?
Yani nikama vile mungu alipo muumba Eva je hakufikilia Kama angeleta uharibifu?

Au alipo anga miza wanaume wote wa sodoma na gomora na mke wa nuhu Kisha kumwacha rutu na mabinti zake hakujua Kama ange tembea na binti zake?

Kwahiyo udhaifu huu wa kuto kujua upo
hata kwa miungu ya wenzetu mkuu👣👣
 
Kabla ya ujio wa hizi dini waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu kupitia kuabudu vitu wasivyovijua in deep yaani nature kupitia matambiko kwa kuabudu milima, misitu, nk.
Sababu ya kuwa gizani wakimtafuta Mungu, shetani akatumia fursa hio akawamiliki kiimani akajifunua kwao kupitia mizimu , wao waliamini wanamuabudu Mungu. Kwa sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu, mwanadamu baada ya kutenda dhambi akatupwa duniani ambapo tayari shetani alikuwa ashatupwa duniani toka mbinguni,hali mwanadamu alitupwa toka bustani ya Eden.
Mwanadamu na shetani wote wapo duniani kwa mda mfupi sababu Dunia si makazi y kudumu kwa shetani na mwanadamu.Makazi ya kudumu ni paradiso na jehanamu.
Dunia si milele, ni temporary place, thus tunakufa mda ukifika.

Unaongea under the influence ya dini za kuletewa,ideology zao zimekufunika uwezo wa kufikiri.
 
Mleta mada nakuunga mkono,ila unafahamu ili waweze kututawala walianza na kuziharibu imani zetu na kuleta zao,mbaya zaidi dini zetu hazikuandikwa ila zilikua za maneno na vitendo,kama hili lipo la kuanza kuandika imekaa sawa.
 
Yani nikama vile mungu alipo muumba Eva je hakufikilia Kama angeleta uharibifu?

Au alipo anga miza wanaume wote wa sodoma na gomora na mke wa nuhu Kisha kumwacha rutu na mabinti zake hakujua Kama ange tembea na binti zake?

Kwahiyo udhaifu huu wa kuto kujua upo
hata kwa miungu ya wenzetu mkuu👣👣
Uzuri wenzetu wana maelezo yanayojitosheleza yanayoweza tumika kujustify wakati wa kushawishi watu

Hiyo Miungu yetu sasa… hata jina hatujui

Hapo jumlisha role models

Wakristo wana Yesu, kwa Yesu wao huwaambii kitu

Waislam tuna Muhammad (pbuh)
Hutwambii kitu

Role model hawa kwetu ndiyo viigizo mtu akiishi ana strive kuwa kama Yesu au Muhammad hawa ni watakatifu

Hiyo dini ya Afrika nani mtakatifu?
Firauni? Ambaye toka tunakua tunafundishwa kuwa alikuwa na laana?

Nani atatenda miujiza ili tumwamini kweli katumwa na Miungu yetu😂
 
Unaanzaje kuanzisha dini tu km tumeshindwa hata kuandaa katiba yetu kila kitu tumerithi

Maji yapo bure kuna maziwa,mito,bahari ila tumeshindwa kusambaza kila mahali

Udongo upo wa kutosha ila cha ajabu tumeshindwa kuchonga tofali tukajenga madarasa maeneo yote mpaka tupewe fungu na beberu

Ardhi ipo tupu kila sehemu mapoli ila migogoro ya ardhi haiishi

Hatujawahi pigana vita vyovyote vya kidunia ila waliopigana ndio wanatupa misaada

Bara halikumbwi na majanga km tsunami,tetemeko ila hatuna maendeleo km wenzetu
Uliyo yaongea nikweli lakini msingi wa yote haya NI uharibifu wa kifikra tulio fanyiwa

Swali la msingi NI je tufanyeje kujiondoa katika fikrahizi au uwezo wetu huu wa kufikiri?

Najihisi kushindwa katika hayo yote nikweli tumeshindwa lakini huenda tuka weza Kwahili kwaninlabda ndiyo professional yetu na sisi🙏🏼🙏🏼🙏🏼
 
Unaanzaje kuanzisha dini tu km tumeshindwa hata kuandaa katiba yetu kila kitu tumerithi

Maji yapo bure kuna maziwa,mito,bahari ila tumeshindwa kusambaza kila mahali

Udongo upo wa kutosha ila cha ajabu tumeshindwa kuchonga tofali tukajenga madarasa maeneo yote mpaka tupewe fungu na beberu

Ardhi ipo tupu kila sehemu mapoli ila migogoro ya ardhi haiishi

Hatujawahi pigana vita vyovyote vya kidunia ila waliopigana ndio wanatupa misaada

Bara halikumbwi na majanga km tsunami,tetemeko ila hatuna maendeleo km wenzetu
Safii
 
Hii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.
Haya yaende sambamba na kurejesha mazingira ya asili na hasa mimea yote inayopotea kwa kasi ili ustawishaji wa uasili huo ulindwe na mimea hiyo inayotajwa kuwa na nguvu kubwa hapo zamani
 
Back
Top Bottom