Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Nafikiri tungeanza na Alina mwana malundi,huko usukumani tujiulize je. Nguvuzao walizitolea wapi? Je waliamini katika Nini?Uzuri wenzetu wana maelezo yanayojitosheleza yanayoweza tumika kujustify wakati wa kushawishi watu
Hiyo Miungu yetu sasa… hata jina hatujui
Hapo jumlisha role models
Wakristo wana Yesu, kwa Yesu wao huwaambii kitu
Waislam tuna Muhammad (pbuh)
Hutwambii kitu
Role model hawa kwetu ndiyo viigizo mtu akiishi ana strive kuwa kama Yesu au Muhammad hawa ni watakatifu
Hiyo dini ya Afrika nani mtakatifu?
Firauni? Ambaye toka tunakua tunafundishwa kuwa alikuwa na laana?
Nani atatenda miujiza ili tumwamini kweli katumwa na Miungu yetu😂
Huenda kidogo tunaanza kupata asili ya miungu yetu