Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
😂😂😂Sema siyo jambo dogo kwako wachina,wahindi,wakorea,warusi,wahindink waliwezaje?
Kasome historia ujue kuwa haya unayoyaona ni matokeo ya mchakato wa miaka mingi hata kabla YESU (as) wala Muhammad (saw) wala Ibrahimu (as) (inakadiriwa) hawajazaliwa
Na waafrika kwa zama hizi? Uanzishe dini leo? Utamchagua mungu gani? Tanzania pekee tuna zaidi ya makabila 140 na kila moja lina mungu wakeWe kaa pembeni Waafrika tufufue dini zetu kwani wewe ni mzungu au mwarabu na dini yako.
Sikwambii kuhusu AFRIKA sasa
Kijana kabla hujalivamia hili swala hebu vuta karatasi na usome utulize kichwa kabisa