Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Ndiyo hapo mkuu najiuliza kila sikuMfumo wa nature chenye nguvu umeza kinyonge.
Kama miungu ya kiafrica ilishindwa kumlinda mwafrika asichukuliwe utumwani plus kutawaliwa je kwa sisi kizazi cha SAsa tuna haja ipi kuabudu miungu dhaifu iliyoshindwa.
Nakama DINI yetu NI uganga Na inaponya nisawa pia tukakitumia hichi kitabuKama kitabu kitakuwa tofauti na rules za uganga,hicho kitakuwa chakwako
Haswa.Mfumo wa nature chenye nguvu umeza kinyonge.
Kama miungu ya kiafrica ilishindwa kumlinda mwafrika asichukuliwe utumwani plus kutawaliwa je kwa sisi kizazi cha SAsa tuna haja ipi kuabudu miungu dhaifu iliyoshindwa.
Huenda walituzidi hakili kwa kujiaminisha Sana kwa miungu yetu kwamba wao niwa tiifu kuliko sisi kupitia mabarozi wake ambao niwaganga na machifu lakini baada ya kuaminika na miungu wakaamua kutudhuruNdiyo hapo mkuu najiuliza kila siku
Hiyo miungu ilikuwepo wapi wakati wale washenzi wanakuja kutupeleka utumwani
Kwahiyo Miungu yetu haikujua kama walileta janja janja?Huenda walituzidi hakili kwa kujiaminisha Sana kwa miungu yetu kwamba wao niwa tiifu kuliko sisi kupitia mabarozi wake ambao niwaganga na machifu lakini baada ya kuaminika na miungu wakaamua kutudhuru
IInawezekana mkuu maamzi tuAsee nikuhakikishie HALITAFANIKIWA KAMWE!
Walioanzisha wote tazama walivyojitoa sadaka
Mussa, Yesu, Muhammad
Sio jambo jepesi jepesi la kukaa kikundi cha wauza mbege mkaanza kuandika
MkuuIInawezekana mkuu maamzi tu
Yani nikama vile mungu alipo muumba Eva je hakufikilia Kama angeleta uharibifu?Kwahiyo Miungu yetu haikujua kama walileta janja janja?
Kabla ya ujio wa hizi dini waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu kupitia kuabudu vitu wasivyovijua in deep yaani nature kupitia matambiko kwa kuabudu milima, misitu, nk.
Sababu ya kuwa gizani wakimtafuta Mungu, shetani akatumia fursa hio akawamiliki kiimani akajifunua kwao kupitia mizimu , wao waliamini wanamuabudu Mungu. Kwa sababu shetani ndie mkuu wa ulimwengu, mwanadamu baada ya kutenda dhambi akatupwa duniani ambapo tayari shetani alikuwa ashatupwa duniani toka mbinguni,hali mwanadamu alitupwa toka bustani ya Eden.
Mwanadamu na shetani wote wapo duniani kwa mda mfupi sababu Dunia si makazi y kudumu kwa shetani na mwanadamu.Makazi ya kudumu ni paradiso na jehanamu.
Dunia si milele, ni temporary place, thus tunakufa mda ukifika.
Nazungumzia reality nimestudy poteUnaongea under the influence ya dini za kuletewa,ideology zao zimekufunika uwezo wa kufikiri.
Hizi zote ni fully ocutism Hakuna tofauti na vodoo.Hivyo vitabu vipo tayari. African Americans wamefanya research sana. Kwa mfano dini ya Wamisri,na unapoo gelea dini ya Waafrika mainly utakuwa unaongea kuhusu dini ya Misri,dini ya Osiris,Isis,Horus,Anubis,n.k.
Uzuri wenzetu wana maelezo yanayojitosheleza yanayoweza tumika kujustify wakati wa kushawishi watuYani nikama vile mungu alipo muumba Eva je hakufikilia Kama angeleta uharibifu?
Au alipo anga miza wanaume wote wa sodoma na gomora na mke wa nuhu Kisha kumwacha rutu na mabinti zake hakujua Kama ange tembea na binti zake?
Kwahiyo udhaifu huu wa kuto kujua upo
hata kwa miungu ya wenzetu mkuu👣👣
Uliyo yaongea nikweli lakini msingi wa yote haya NI uharibifu wa kifikra tulio fanyiwaUnaanzaje kuanzisha dini tu km tumeshindwa hata kuandaa katiba yetu kila kitu tumerithi
Maji yapo bure kuna maziwa,mito,bahari ila tumeshindwa kusambaza kila mahali
Udongo upo wa kutosha ila cha ajabu tumeshindwa kuchonga tofali tukajenga madarasa maeneo yote mpaka tupewe fungu na beberu
Ardhi ipo tupu kila sehemu mapoli ila migogoro ya ardhi haiishi
Hatujawahi pigana vita vyovyote vya kidunia ila waliopigana ndio wanatupa misaada
Bara halikumbwi na majanga km tsunami,tetemeko ila hatuna maendeleo km wenzetu
SafiiUnaanzaje kuanzisha dini tu km tumeshindwa hata kuandaa katiba yetu kila kitu tumerithi
Maji yapo bure kuna maziwa,mito,bahari ila tumeshindwa kusambaza kila mahali
Udongo upo wa kutosha ila cha ajabu tumeshindwa kuchonga tofali tukajenga madarasa maeneo yote mpaka tupewe fungu na beberu
Ardhi ipo tupu kila sehemu mapoli ila migogoro ya ardhi haiishi
Hatujawahi pigana vita vyovyote vya kidunia ila waliopigana ndio wanatupa misaada
Bara halikumbwi na majanga km tsunami,tetemeko ila hatuna maendeleo km wenzetu
Haya yaende sambamba na kurejesha mazingira ya asili na hasa mimea yote inayopotea kwa kasi ili ustawishaji wa uasili huo ulindwe na mimea hiyo inayotajwa kuwa na nguvu kubwa hapo zamaniHii ni kutokana na uwazi kuwa sasa Waafrika tumeanza kujitambua hivyo inatubidi kuweka maandiko yetu ya kiimani na kuabudu yatakayofundisha mambo mazuri na kuyaendeleza na pia mambo mabaya na kuyaacha kwa kufuata mfumo uleule wa kuzikataa dini na imani tulizoletewa na wakokoni wote kwani siyo rahisi kuzikataa pasipo kuanzisha ya kwetu.