Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Nimeona nije hapa niweke mambo sawa

Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana

Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi

Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu

Asante sana kwa kunisikiliza

Sisi wafuasi wa KRISTO tuendelee kuliombea amani kanisa la Africa mashariki ikiwemo kongo, Burundi, Rwanda, Tanzania

Tusichoke pia kuambea aman kwa kanisa la Palestine, Israel,misri, Jordan, Burkina Faso na ulimwenguni kwa ujumla
Hasa hasa Sudan

SAYUNI BOY
 
Banyamulenge ni watutsi wa DRC upande wa pili wa mpaka wa Rwanda. Hawa wana bond kubwa sana na wenzao wa Rwanda zaidi ya wamasai wa pande mbili; au wamakonde; au waluo.
 
mkushi mmoja ni sawa na bantu milioni moja
 
Pua...

Mwingine pua nyembamba inaangalia juu
Mwingine pua pana inaangalia chini
Lakini kuna wahutu kama watutsi, acha wahutu, kuna waha hapo Kigoma ukiwatizama unaona kabisa huyu ni mtutsi...
Hizi jamii zimeingiliana sana, kuna wahutu wana pua ndefu..
 
Banyamulenge ni watutsi wa DRC upande wa pili wa mpaka wa Rwanda. Hawa wana bond kubwa sana na wenzao wa Rwanda zaidi ya wamasai wa pande mbili; au wamakonde; au waluo.
Banyamulenge ni watutsi wa Rwanda na Burundi waliokimbia Rwanda/ Burundi kutokana na visa mbali mbali walivyofanyiana wao kwa wao na falme zao
 
Usitupotoshe Rwanda wamejaa watusi..Wahutu wengi walikimbilia Congo..watusi wachache nao walikimbilia Uganda,Ethiopia,Congo na Tanzania kwenye yale mauji ya kimbari..ngoja niishie hapa ila niwaachie kaswali. Kwanini Kagame anaisakama Congo kwa kuwafadhili M23 nje ya kizingizio cha kuwalinda watusi waliopo Congo pamoja na uchotaji wa madini?
 
Back
Top Bottom