"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wadada wa mjini ndiyo zao, wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So, anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo wakulungwa. Ukijichanganya ukazaa naye utajuta.

Kabla, bibie hufanya risk assessment (Cost-Benefit Analysis) kulingana na kipato chako. Hawaji kichwa-kichwa, so kama huna hela hawa utawasikia kwa wenye hela tu.

Siku analianzisha unashangaa hivi huyu si ndiyo alisema hatanisumbua?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…