Naomba udhamini wa elimu ya juu

Naomba udhamini wa elimu ya juu

Kuna watu wanajiita great thinker ila kumbe uzi kama huu kwao ni mwiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wandugu natafuta udhamini wa masomo ya afya ikiwa ni shirikshirika, mtu binafs au hata taasisi kwa masharti yeyote nafuu na halali, nimesoma masomo ya sayansi PCB Nina ufaulu wa dv 3,
Kama kuna info zozote please PM.
Ahsanteni.
Soma bachelor of science with education, mkopo utapata, maisha yataenda

Kwa huo ufaulu sidhan kama kuna mtu wa kuwekeza pesa apoo,

Iyoo div 3 kama una DD soma ualimu wa sayansi Huto juta nakwambia mkuu
 
Mkuu kwa kiwango hicho cha ufaulu watanipa kweli hawa jamaa?
 
Nataka kusoma kozi yoyote ya afya mkuu
 
Shukran Mkuu, ila hata kama nikipata diploma yoyote ya afya kwangu sawa na ndio target yangu.
 
Mkuu kwa kiwango hicho cha ufaulu watanipa kweli hawa jamaa?
Acha uwoga usio na madhara, jaribu kwanza ikishindikana ndio unajua haiwezekani kukupa, you can not win without try, jaribu ili ujue watakupa kweli au laaah, na walimu wa sayansi ni hot cake na wanatafutwa sana ili kujazia nafasi za shule nyingi tu
 
Wakuu kama kuna mtu yeyote anaefahamu mtu binafsi, shirika ama taasisi inayotoa udhamini wa elimu ya juu (diploma yeyote ya afya) kwa masharti nafuu naomba anijuze tafadhali.
 
Sikukatishi tamaa lakini ndani ya sayari hii viumbe hao hawapatikani
 
Ada au nn ?
Ada sio shida ,shida ni accommodation mzee baba utasota mbaya yan utakula mpaka uko a.k.a madini

Pambana Fanya mambo mengine soma veta hapo chaap unajiajiri mwenywe hautasumbuana na mtu
 
Wakuu kama kuna mtu yeyote anaefahamu mtu binafsi, shirika ama taasisi inayotoa udhamini wa elimu ya juu (diploma yeyote ya afya) kwa masharti nafuu naomba anijuze tafadhali.

Quote
 
Kwa hizi zama ni ngumu sana.
Vyuma vimekaza sana, wahitaji ni wengi na uwezo ni mdogo.

Zamani ingewezekana, maana wahitimu walikuwa wachache.
 
Wandugu naomba msaada kwa mwenye connection ya mtu binafsi, shirika, kampuni ama taasisi inayotoa UDHAMINI wa elimu ya juu anijuze!!!
 
Wandugu naomba msaada kwa mwenye connection ya mtu binafsi, shirika, kampuni ama taasisi inayotoa UDHAMINI wa elimu ya juu anijuze!!!
Alama zako kwanza.

Kama unajua umepiga wani both advance and olevo nenda japan embassy.

Ila Kama unajua umeingia top ten afu wewe ni ke nenda bot fasta Sana unapata.

Pia Kama una wani Kali advance nenda eabl utapata.

Kama kigezo chako ni master na unayo bachelor ya gpa ya maana Sachi mashirika kibao na nchi nyingi kibao wanato izo Mambo.

Hizi fursa West Africa wanajua kucheza nazo vizuri Sana na wanaofanikiwa.

Hizi Mambo ni za Mana y umeshindwa kuuliza internet Mana na huko ukienda utaulizwa uliona kwa website ama. Mambo ni digitalize.

Yaani baana hizi Mambo mtu anashindwa kusachi na ilhali porno mtu anasachi mpaka Latino America anawacheki watt
 
Back
Top Bottom